Iyo bajet yake sio ya nchi hiiAsubuhi kunywa chai maziwa na sukari, mkate uliopakwa butter na jam mayai ya kukaanga (kama utaweza). Mchana ugali nyama au wali nyama. Usiku kiepe na mirinda ya baridi. Bila kusahau matunda na Mbita mboga pamoja na kunywa maji,
Kumbe na wewe ni "kembamba" wakili msomi? hahahahahahaahahMkuu, kuna miili ya asili na ya kimaisha. Wa kwako, kama ulivyo wangu na wa Rais Kagame, ni mwili wa asili. Usilazimishe na kupata matatizo ambayo yatakuzidi nguvu.
Kama Rais Kagame. Sijawahi kukonda wala kunenepaKumbe na wewe ni "kembamba" wakili msomi? hahahahahahaahah
πππππKama Rais Kagame. Sijawahi kukonda wala kunenepa
Hehehe mwaka gani hiyo na mie nautaka nowLabda mwili utakuja ukishapata mtt
Sijasema kwamba nataka unene kwa ajili ya wanaumeWanaume tunataka hao au umesahau kuwa mmeliliwa tu juzi nyie wa hivyo mkuu