Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

From Sir With Love,
Sir With Love

Kindly nikushukuru kwa ushauri wako.shuuli niifanyayo haiitaji pumzi ville. Ni vile tu awa wataalam wetu wamentisha na mizani yao ya uref na uzito.

Hapo awal nlkua nkiridhika mbona na umbo langu. Hofu ilianza waliponiambia hivyo.
Labda niulize kwa wataalam kuna madhara kua mrefu with less kilos?
 
veeswt,
Veeswt, asante kwa mrejesho.

Inasemekana watu warefu kuliko wastan, wapo hatarini kuugua magonjwa kuliko watu wafupi.

Sijajua urefu wala uzito wako, na una upungufu wa kilo ngapi kufikia BMI inayotakiwa.

Ila nadhani ni bora ukawa mrefu na uzito mdogo, kuliko kuwa mrefu na uzito uliozidi.
 
Kula chips kwa wingi mm unene ninaukimbia nilikuwa nauhitaji pia, ulivokujaulivokuja ninauchukua
 
Gonga nyama choma na bia kila cku haipiti wk 2 ushanenepa pia hakikisha kila mlo wako haukosi soda baridiiiiì sana hasa tamu tamu.
N.B kunenepa ni rahisi kuliko kupunguza unene.
 
kula mayai, ndizi za kuiva, maziwa ya ng'ombe na ufuta kila siku kwa pamoja utaona matokeo yake ndani ya siku 22
 
jikubali ulivyo..kuna wengi tu hawalali usiku kucha mchana kutwa wanajitahidi kupunguza uzito..
 
Habarini JF Doctors!

Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.

Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!

Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!

Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!

Nitashukuru sana!
 
Mkuu me nadhani unaweza ukasema huna stress ila kumbe unastress sana.jaribu kuwa na Furaha na kupunguza mawazo...au tembelea hospitali nadhani utapewa ushauri unaoga a.
 
Wanaume tunataka hao au umesahau kuwa mmeliliwa tu juzi nyie wa hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom