Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Saint Anne Galbi kazi kwenu πŸ˜†
 
Habari

Wakuu binafsi nataka kujua mbinu za kuwa kibonge, nimechoka kuwa na mwili kimbao mbao, kula nakula, napumzika sanaa, ila mwili upo pale pale, kwenda gymu sipendelee sanaa, naona mateso.

Nipo mbele yenu kujua mbinu zaidi kuwa na body size ya wastani, hiki ki mwili kinaniboa kwa kweli
 
Mkuu mtaani sahivi pazuri eeh maana kuna uzi wako unalalamika mtaani tunaishije? Au sio wewe [emoji1751][emoji2957][emoji125]
Ni mimi mkuu

Pamoja na tabu zote mwonekano unaficha Shida ,wacha tutengeneze body
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…