Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hii comment ndiyo naiona. Ilo kaburi uliloangukia liko wapi 😆Kuna kaburi nimeliangukia huko kulifukua nakumbana na picha ya Depal. Aisee mbona umenona vizuri unahangaika nini kunenepa zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment ndiyo naiona. Ilo kaburi uliloangukia liko wapi 😆Kuna kaburi nimeliangukia huko kulifukua nakumbana na picha ya Depal. Aisee mbona umenona vizuri unahangaika nini kunenepa zaidi?
Saint Anne Galbi kazi kwenu 😆Okay. Hapo kuna vitu vya kufix katika mlo wako.
Pia acha kuskip meal , umesema hapo wakati mwingine hauli usiku, jitahidi upate angalau milo mitatu yenye uwiano sawa wa vyakula kutoka kwenye makundi muhimu matano ya chakula nitayataja hapo chini
Nimeangalia vizuri diet yako ni ya kawaida sana . Sijajua kuhusu ujazo mfano chapati ngapi?, Samaki kiasi gani?? Wali kiasi gani.??
Pia katika mlo wako jitahidi kuchanganya makundi ya vyakula ili upate mlo kamili katika kila mlo iwe kifungua kinywa, chakula cha mchana au usiku...
Kwenye uzi wa Mshana Jr wa snap it show itHii comment ndiyo naiona. Ilo kaburi uliloangukia liko wapi 😆
HatariSaint Anne Galbi kazi kwenu 😆
Roho mbaya inahusiana vip na kunenepaKama unafanya vyote hivyo ila bado hunenepi basi utakuwa na roho mbaya
Naomba mbinu jmn, kila siku babe ananiponda kuwa ninamwili kimbao mbaoHakuna kitu nachukia kama mwanaume kuwa kimbaumbau kama mwiko wa pilau,
Mkuu pambana kula na kunywa maji ya kutosha, uongeze tu vinyama kidogo jamani..
Ni mimi mkuuMkuu mtaani sahivi pazuri eeh maana kuna uzi wako unalalamika mtaani tunaishije? Au sio wewe [emoji1751][emoji2957][emoji125]
Mim mwanaumeWewe ni KE au ME?
😅 Pamoja SanaNi mimi mkuu
Pamoja na tabu zote mwonekano unaficha Shida ,wacha tutengeneze body
Kisa ww ??Hakuna kitu nachukia kama mwanaume kuwa kimbaumbau kama mwiko wa pilau,
Mkuu pambana kula na kunywa maji ya kutosha, uongeze tu vinyama kidogo jamani..