Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Okay. Hapo kuna vitu vya kufix katika mlo wako.

Pia acha kuskip meal , umesema hapo wakati mwingine hauli usiku, jitahidi upate angalau milo mitatu yenye uwiano sawa wa vyakula kutoka kwenye makundi muhimu matano ya chakula nitayataja hapo chini

Nimeangalia vizuri diet yako ni ya kawaida sana . Sijajua kuhusu ujazo mfano chapati ngapi?, Samaki kiasi gani?? Wali kiasi gani.??

Pia katika mlo wako jitahidi kuchanganya makundi ya vyakula ili upate mlo kamili katika kila mlo iwe kifungua kinywa, chakula cha mchana au usiku...
Saint Anne Galbi kazi kwenu 😆
 
Habari

Wakuu binafsi nataka kujua mbinu za kuwa kibonge, nimechoka kuwa na mwili kimbao mbao, kula nakula, napumzika sanaa, ila mwili upo pale pale, kwenda gymu sipendelee sanaa, naona mateso.

Nipo mbele yenu kujua mbinu zaidi kuwa na body size ya wastani, hiki ki mwili kinaniboa kwa kweli
 
Back
Top Bottom