ungeweza kuniambia personally bila kunitupia jiwe gizani kiasi hiki πHakuna kitu nachukia kama mwanaume kuwa kimbaumbau kama mwiko wa pilau,
Mkuu pambana kula na kunywa maji ya kutosha, uongeze tu vinyama kidogo jamani..
[emoji23][emoji23]mkuu jiwe limekupataungeweza kuniambia personally bila kunitupia jiwe gizani kiasi hiki [emoji16]
Mwili mwembamba ni karahaaKwann unayaka kunenepa au fashion?
Sichezi vikoba mimIshi bila vikoba.
[emoji23][emoji23]mkuu jiwe limekupata
Pole sana mkuuMim mwanaume
Nalizika mkuu, nachokipata na kula, ila wembamba upo pale paleHuwezi kunenepa kwa kula msosi wa kengele. Account haisomi n.k
kwa shida zilizopo uswazu unaweza shangaa hata kwa nini wale wamama wanaongoza kwa kunenepa !!!..
sasa elewa tu mkuu kunawiri kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na KURIDHIKA, vingine labda lifestyle na asili ya mtu
π π π π π πungeweza kuniambia personally bila kunitupia jiwe gizani kiasi hiki π
Hahahaha.Asubuhi kula mayai matatu,glass ya maziwa fresh,chapati mbili na supu nzito ya mbuzi,mchana piga ugali na nusu kilo ya kitimoto shusha na bia mbili,usiku kula wali nYama shusha na bia.Njoo baada ya mwezi ulete mrejesho.
Duu mkuu!Asubuhi kula mayai matatu,glass ya maziwa fresh,chapati mbili na supu nzito ya mbuzi,mchana piga ugali na nusu kilo ya kitimoto shusha na bia mbili,usiku kula wali nYama shusha na bia.Njoo baada ya mwezi ulete mrejesho.
utakuwa mgonjwa kafanye blood test.Kama nyama (kitimoto na ngombe) na mayai vinanenepesha ningekua kibonge hasaaaa. Ila vilo vyaongezeka ila mwili upo palepale
Hii programme ni magic one, anaweza akaopoa na kitambi sugu baadae.Asubuhi kula mayai matatu,glass ya maziwa fresh,chapati mbili na supu nzito ya mbuzi,mchana piga ugali na nusu kilo ya kitimoto shusha na bia mbili,usiku kula wali nYama shusha na bia.Njoo baada ya mwezi ulete mrejesho.
Hauna stress na unakulaga hivo na bila kuufanyisha mwili wako kazi na bado unenepi au kuongeza uzito mkuu?Kama nyama (kitimoto na ngombe) na mayai vinanenepesha ningekua kibonge hasaaaa. Ila vilo vyaongezeka ila mwili upo palepale