Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Hakuna kitu nachukia kama mwanaume kuwa kimbaumbau kama mwiko wa pilau,

Mkuu pambana kula na kunywa maji ya kutosha, uongeze tu vinyama kidogo jamani..
ungeweza kuniambia personally bila kunitupia jiwe gizani kiasi hiki 😁
 
kwa shida zilizopo uswazi unaweza shangaa hata kwa nini wale wamama wanaongoza kwa kunenepa !!!. sasa elewa tu mkuu kunawiri kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na KURIDHIKA, vingine labda lifestyle na asili ya mtu
 
Kunenepa ni kula, unajiona unakula vya kutosha lakini hapana, hauna hamu ya chakula cha kutosha kukunenepesha, nenda gym kunyanyua uzito mara mbili kwa wiki ili utengeneze appetite. Utanenepa hadi ujute
 
kwa shida zilizopo uswazu unaweza shangaa hata kwa nini wale wamama wanaongoza kwa kunenepa !!!..
sasa elewa tu mkuu kunawiri kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na KURIDHIKA, vingine labda lifestyle na asili ya mtu

Kunenepa sio kunawili mzee, na kuridhika hakunenepeshi, kula zaidi ndio kunanenepesha
 
Asubuhi kula mayai matatu,glass ya maziwa fresh,chapati mbili na supu nzito ya mbuzi,mchana piga ugali na nusu kilo ya kitimoto shusha na bia mbili,usiku kula wali nYama shusha na bia.Njoo baada ya mwezi ulete mrejesho.
 
ungeweza kuniambia personally bila kunitupia jiwe gizani kiasi hiki 😁
šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚
Good Lord, how did I forget kuwa nina shabaha kiwango hiki?? Hadi gizani???
 
Asubuhi kula mayai matatu,glass ya maziwa fresh,chapati mbili na supu nzito ya mbuzi,mchana piga ugali na nusu kilo ya kitimoto shusha na bia mbili,usiku kula wali nYama shusha na bia.Njoo baada ya mwezi ulete mrejesho.
Hahahaha.
Hapa atakuwa mkubwa kama nyumba, tumbo kama simtank walaqhi'.!
 
Asubuhi kula mayai matatu,glass ya maziwa fresh,chapati mbili na supu nzito ya mbuzi,mchana piga ugali na nusu kilo ya kitimoto shusha na bia mbili,usiku kula wali nYama shusha na bia.Njoo baada ya mwezi ulete mrejesho.
Hii programme ni magic one, anaweza akaopoa na kitambi sugu baadae.
 
Kama nyama (kitimoto na ngombe) na mayai vinanenepesha ningekua kibonge hasaaaa. Ila vilo vyaongezeka ila mwili upo palepale
Hauna stress na unakulaga hivo na bila kuufanyisha mwili wako kazi na bado unenepi au kuongeza uzito mkuu?
 
Back
Top Bottom