Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Piga mayai matatu ya kukaanga na maziwa asubui..mchana kula ugali na nyama,jioni chipsi mayai na soda mirinda au soda yoyote yenye sukari,usiku kula wali nyama au wali samaki,kesho amkia kipolo cha wali asubui na silesi tatu za mkate zenye blueband,mchana piga nyama robo na soda yenye sukari,jioni kunywa chai yenye sukar na usiku kula wali na nyama nyingi..yaan usicheze mbali na sukari,carbohydrate especially mkate,na protein yaan nyama na samaki...ndani ya miezi mitatu utanipa majib then tumia muda mwingi kupumzika ..NB..ni gharama sana kutafuta mwili mnene jipange
Mkuu io menu duh..ila najuaga kunenepa bure kukonda na hela[emoji2]
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mpaka sasa, urefu wangu ni 180cm, uzito wangu ni 60kg mimi ni mwembamba sana ( bones) hali hii naona ni kero kwangu kwa sababu wembamba siyo asili yangu ni hali ambayo imeanza kunipata tangu nilivyofikisha miaka 25 nilivyokuwa chini ya hapo nilikuwa nina kg kati ya 64-66kgs

Naomba ushauri nifanyeje ili niweze kuongezeka unene (uzito) angalau nifikishe 65+kg, ili nifurahie maisha? Chakula najitahidi sana kula na napenda kula, pia nilikuwa napenda kufanya mazoezi ya mbio kila siku jioni nilikimbia kutoka mwenge to Afrikana na kurudi, baada ya kumwona daktari kanizuia kabisa ili nimantain uzito, nina mwaka na nusu nimeacha mazoezi kabisa lakini bado uzito wangu umesimamia 60kg.
 
Mbona unaonekana ni mrefu sana na uzito hauendani nawe. Halafu inaonekana umeathirika kisaikolojia juu ya jambo hili.

Mi nna 166cm tu nina kg 66.

Unahitaji kuwaona wanasaikolojia zaidi kwanza.
 
Mbona unaonekana ni mrefu sana na uzito hauendani nawe. Halafu inaonekana umeathirika kisaikolojia juu ya jambo hili.

Mi nna 166cm tu nina kg 66.

Unahitaji kuwaona wanasaikolojia zaidi kwanza.
Uko sahihi hali hii inanitesa sana kisaikolojia.
 
Nilishapima vipimo vingi sana zaidi nilichoonekana nacho ni dalili ya vidonda vya tumbo na matibabu nikaanza kupewa.
Pole tena kwa mara ya pili, Kama Kiafya uko salama basi nadhani ni suala la kutuliza akili.

Uliwahi kukaa mazingira tofauti na hapo ulipo?
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mpaka sasa, urefu wangu ni 180cm, uzito wangu ni 60kg.
Mimi ni mwembamba sana ( bones) hali hii naona ni kero kwangu kwa sababu wembamba siyo asili yangu ni hali ambayo imeanza kunipata tangu nilivyofikisha miaka 25
Nilivyokuwa chini ya hapo nilikuwa Nina kg kati ya 64-66kgs

Naomba ushauri nifanyeje ili niweze kuongezeka unene (uzito) angalau nifikishe 65+kg, ili nifurahie maisha? Chakula najitahidi sana kula na napenda kula, pia nilikuwa napenda kufanya mazoezi ya mbio kila siku jioni nilikimbia kutoka mwenge to Afrikana na kurudi, baada ya kumwona daktari kanizuia kabisa ili nimantain uzito, nina mwaka na nusu nimeacha mazoezi kabisa lakin bado uzito wangu umesimamia 60kg.
Stress za maisha huwezi kunene zaidi ys hapo, vilevile angalia katika ukoo wa mama yako na baba yako kama wako hivyo we endelea na maisha tu
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mpaka sasa, urefu wangu ni 180cm, uzito wangu ni 60kg.
Mimi ni mwembamba sana ( bones) hali hii naona ni kero kwangu kwa sababu wembamba siyo asili yangu ni hali ambayo imeanza kunipata tangu nilivyofikisha miaka 25
Nilivyokuwa chini ya hapo nilikuwa Nina kg kati ya 64-66kgs

Naomba ushauri nifanyeje ili niweze kuongezeka unene (uzito) angalau nifikishe 65+kg, ili nifurahie maisha? Chakula najitahidi sana kula na napenda kula, pia nilikuwa napenda kufanya mazoezi ya mbio kila siku jioni nilikimbia kutoka mwenge to Afrikana na kurudi, baada ya kumwona daktari kanizuia kabisa ili nimantain uzito, nina mwaka na nusu nimeacha mazoezi kabisa lakin bado uzito wangu umesimamia 60kg.
Upe mwili wako vyakula vya mafuta sana na mbogamboga
 
Back
Top Bottom