Piga mayai matatu ya kukaanga na maziwa asubui..mchana kula ugali na nyama,jioni chipsi mayai na soda mirinda au soda yoyote yenye sukari,usiku kula wali nyama au wali samaki,kesho amkia kipolo cha wali asubui na silesi tatu za mkate zenye blueband,mchana piga nyama robo na soda yenye sukari,jioni kunywa chai yenye sukar na usiku kula wali na nyama nyingi..yaan usicheze mbali na sukari,carbohydrate especially mkate,na protein yaan nyama na samaki...ndani ya miezi mitatu utanipa majib then tumia muda mwingi kupumzika ..NB..ni gharama sana kutafuta mwili mnene jipange