Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-31-23-51-05-490_kiswahili.swahili.quran.koran.islam.qurani-edit.jpg
    421.4 KB · Views: 4
Waliwezaje kujua mambo yote hayo ya nje ya Dunia ingali Bahari tu tuliyonayo hapa Duniani hatuijui hata Robo yake ?
binadamu sote hatuwezi ku focus kwenye topic moja kila mtu ana nafasi yake kwenye kitu anachokipenda na kukifanya bado hatuna intelligence ya kufanya kila kitu kwa asilimia mia na wengine kuwa na njaa haimaanishi walioshiba washindwe kufanya mambo mengine coz problems will never end
 
kwa tunaoelewa tuaelewa ila kwa wasioelewa ni mfano mgumu sana kwao
 
Hivi huwa munathibitishaje mambo hayo, au huwa munakalilishana tu.
 
Hivi huwa munathibitishaje mambo hayo, au huwa munakalilishana tu.
Kuna vifaa vinatumwa na vingine vipo kwenye vituo hapa duniani kama vile telescope kwa ajili ya kuangalia na kusikiliza inayofahamika sana ni Hubble telescope, pia vifaa vyengine kwa ajili ya kudetect miozi, gravity, magnetic fields, pia wanafanya calculation
 
Umejibu kama mtaalamu ama kwa mawazo yako? Zitakutana vipi ikiwa kila galaxy iko kwenye mwendo? Ni sawa na kuuliza ipo siku dunia na zuhura zitakutana kwa kuwa dunia inalizunguka jua?
milkway na andromeda zitaungana na kuwa galaxy moja kubwa ila muungano huo hautakuwa na athari yoyote kwenye mfumo wetu wa jua
 
Haya sasa, yale yalee!
Sayans ya mambo ya anga me sijawahi kuielewa, naona kama tunalishana matango poli tu. Mfano mzuri kwenye swala la umbo la Dunia yetu, wapo wanaosema tufe na wengine flat.
Yeyote anaekwambia dunia tufe, na wewe kuamua kubishana nae. Hiyo ni wewe kuamua kupoteza muda wako, given the advancement of cosmology evidence and the application of rocket science..

Unajua changamoto ya kupeleka vyombo mwezini tu, let alone Mars and far distances of gas giants and their moons.

Kama una akili zako timamu kubishana na mtu wa nadharia ya flat earth (maana yake, wewe mwenyewe una muda wa kuchezea).
 
Na wale wanao sema wanasayansi waongo wamejuaje wakati hiyo Quantum mechanics inayotumia kudetect gravity na anti gravity ndio hiyo hiyo iliyotumika kutengeneza asilimia kubwa ya vifaa vya simu, MRI machines za hospitali ila kwenye simu hawashangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…