Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Wengi tumekuwa na mawazo ya kuwa dunia inalizunguka jua ambalo limetulia sehemu moja halizunguki wala kutembea ila kiuhalisia mambo yapo tofauti na unavyofikiria. wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka jua, jua pia linafanya mzunguka mkubwa kwenye space likizunguka galaxy ya milk way likifanya hivyo kwa kutuchukua sisi na sayari zote ikiwepo dunia kwenye mzunguko huo

View attachment 3138872

Galaxy ya milk way ni kubwa ikiwa imebeba nyota zenye idadi kubwa na sayari zake, gesi, vumbi na uchafu mwingi ikiwa na upana wa ( 100,000 light years) View attachment 3138880

miongoni mwa kitu cha kuvutia kuhusu galaxy yetu ni mzunguko wake kama gurudumu kubwa la duara linalopelekwa na upepo, mzunguko huo hufanya gesi na nyota zilizomo kuzunguka kwa mduara. Jua letu na sayari zake linapatikna kwenye mmoa ya mikono/mbawa zake umbali wa (25,000 light years) kutoka katikati ya galaxy View attachment 3138875

Kama vile dunia linavyolizinguka jua, jua linazunguka kwenye center ya galaxy ya milk way kwa kasi ya maili 143 kwa sekunde liki kamilisha mzunguko wote baada ya miaka millioni 230, mzunguko huo sio kama duara kabisa ila lina panda na kushuka kwenye galactic plane likitumia miaka millioni 60 kila likipanda na kushuka View attachment 3138876

Sio tu jua linalotembea bali hata galaxy pia zinatembea na kwa sasa galaxy yetu ikiwa inaelekea kwenye galaxy ya karibu inaitwa Andromeda. View attachment 3138877

galaxy ya milk way pamoja na galaxy zingine zilizopo kwenye kundi la galaxy linaloitwa Local Group likiwa na takribani galaxy 54 zote zikiwa zinaelekea kwenye mvutano mkubwa wa ajabu unaoitwa The Great Attractor, View attachment 3138883

pia hapo siyo mwisho ulimwengu wetu wote unatanuka kwa kasi kubwa na kufanya galaxy kuwa mbali mbali kuliko ilivyokuwa zamani
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-31-23-51-05-490_kiswahili.swahili.quran.koran.islam.qurani-edit.jpg
    Screenshot_2024-10-31-23-51-05-490_kiswahili.swahili.quran.koran.islam.qurani-edit.jpg
    421.4 KB · Views: 4
Waliwezaje kujua mambo yote hayo ya nje ya Dunia ingali Bahari tu tuliyonayo hapa Duniani hatuijui hata Robo yake ?
binadamu sote hatuwezi ku focus kwenye topic moja kila mtu ana nafasi yake kwenye kitu anachokipenda na kukifanya bado hatuna intelligence ya kufanya kila kitu kwa asilimia mia na wengine kuwa na njaa haimaanishi walioshiba washindwe kufanya mambo mengine coz problems will never end
 
Dark Matter na Dark Energy kwa nilivyoelewa ni sawa na mtu aje na hesabu 4 + _ = 10; yaani penyewe huioni hiyo 6 hapo ila kwasababu ya hiyo namba 10 unajua kabisa hiyo nafasi "kitu chenye uzito kioo"
Dark matter na dark energy nayo ndio hivyo hivyo; kwa jinsi wanavyoutazama ulimwengu (the observable universe) hesabu katika makadilio ya uzito ni kwamba kuna asilimia kama 60% ambayo hawaioni Wala kui-detect ila kutokana na asilimia 40% wanayoiona inavyo-behave basi jibu ni kuwa kuna visivyoonekana lakini vipo (Dark Matter na Dark Energy)
kwa tunaoelewa tuaelewa ila kwa wasioelewa ni mfano mgumu sana kwao
 
Wengi tumekuwa na mawazo ya kuwa dunia inalizunguka jua ambalo limetulia sehemu moja halizunguki wala kutembea ila kiuhalisia mambo yapo tofauti na unavyofikiria. wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka jua, jua pia linafanya mzunguka mkubwa kwenye space likizunguka galaxy ya milk way likifanya hivyo kwa kutuchukua sisi na sayari zote ikiwepo dunia kwenye mzunguko huo

View attachment 3138872

Galaxy ya milk way ni kubwa ikiwa imebeba nyota zenye idadi kubwa na sayari zake, gesi, vumbi na uchafu mwingi ikiwa na upana wa ( 100,000 light years) View attachment 3138880

miongoni mwa kitu cha kuvutia kuhusu galaxy yetu ni mzunguko wake kama gurudumu kubwa la duara linalopelekwa na upepo, mzunguko huo hufanya gesi na nyota zilizomo kuzunguka kwa mduara. Jua letu na sayari zake linapatikna kwenye mmoa ya mikono/mbawa zake umbali wa (25,000 light years) kutoka katikati ya galaxy View attachment 3138875

Kama vile dunia linavyolizinguka jua, jua linazunguka kwenye center ya galaxy ya milk way kwa kasi ya maili 143 kwa sekunde liki kamilisha mzunguko wote baada ya miaka millioni 230, mzunguko huo sio kama duara kabisa ila lina panda na kushuka kwenye galactic plane likitumia miaka millioni 60 kila likipanda na kushuka View attachment 3138876

Sio tu jua linalotembea bali hata galaxy pia zinatembea na kwa sasa galaxy yetu ikiwa inaelekea kwenye galaxy ya karibu inaitwa Andromeda. View attachment 3138877

galaxy ya milk way pamoja na galaxy zingine zilizopo kwenye kundi la galaxy linaloitwa Local Group likiwa na takribani galaxy 54 zote zikiwa zinaelekea kwenye mvutano mkubwa wa ajabu unaoitwa The Great Attractor, View attachment 3138883

pia hapo siyo mwisho ulimwengu wetu wote unatanuka kwa kasi kubwa na kufanya galaxy kuwa mbali mbali kuliko ilivyokuwa zamani
Hivi huwa munathibitishaje mambo hayo, au huwa munakalilishana tu.
 
Hivi huwa munathibitishaje mambo hayo, au huwa munakalilishana tu.
Kuna vifaa vinatumwa na vingine vipo kwenye vituo hapa duniani kama vile telescope kwa ajili ya kuangalia na kusikiliza inayofahamika sana ni Hubble telescope, pia vifaa vyengine kwa ajili ya kudetect miozi, gravity, magnetic fields, pia wanafanya calculation
 
Umejibu kama mtaalamu ama kwa mawazo yako? Zitakutana vipi ikiwa kila galaxy iko kwenye mwendo? Ni sawa na kuuliza ipo siku dunia na zuhura zitakutana kwa kuwa dunia inalizunguka jua?
milkway na andromeda zitaungana na kuwa galaxy moja kubwa ila muungano huo hautakuwa na athari yoyote kwenye mfumo wetu wa jua
 
Haya sasa, yale yalee!
Sayans ya mambo ya anga me sijawahi kuielewa, naona kama tunalishana matango poli tu. Mfano mzuri kwenye swala la umbo la Dunia yetu, wapo wanaosema tufe na wengine flat.
Yeyote anaekwambia dunia tufe, na wewe kuamua kubishana nae. Hiyo ni wewe kuamua kupoteza muda wako, given the advancement of cosmology evidence and the application of rocket science..

Unajua changamoto ya kupeleka vyombo mwezini tu, let alone Mars and far distances of gas giants and their moons.

Kama una akili zako timamu kubishana na mtu wa nadharia ya flat earth (maana yake, wewe mwenyewe una muda wa kuchezea).
 
Yeyote anaekwambia dunia tufe, na wewe kuamua kubishana nae. Hiyo ni wewe kuamua kupoteza muda wako, given the advancement of cosmology evidence and the application of rocket science..

Unajua changamoto ya kupeleka vyombo mwezini tu, let alone Mars and gas giants and their moons.

Kama una akili zako kubishana na mtu wa nadharia ya flat earth (maana yake, una wewe mwenyewe una wa kuchezea).
Na wale wanao sema wanasayansi waongo wamejuaje wakati hiyo Quantum mechanics inayotumia kudetect gravity na anti gravity ndio hiyo hiyo iliyotumika kutengeneza asilimia kubwa ya vifaa vya simu, MRI machines za hospitali ila kwenye simu hawashangai
 
Back
Top Bottom