Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Sio tu jua linalotembea bali hata galaxy pia zinatembea na kwa sasa galaxy yetu ikiwa inaelekea kwenye galaxy ya karibu inaitwa Andromeda

mkuu swali langu ni je tukigongana na andromeda itakuaje
 
Na wale wanao sema wanasayansi waongo wamejuaje wakati hiyo Quantum mechanics inayotumia kudetect gravity na anti gravity ndio hiyo hiyo iliyotumika kutengeneza asilimia kubwa ya vifaa vya simu, MRI machines za hospitali ila kwenye simu hawashangai
Mtu anayesema wanasayansi waongo jua kuna mawili
1- Wanakula mchele mbichi
2-Wana mavi kichwani
 
Mkuu upo deep sana kwa astronomy et .?
Nope, ni kupenda kujifunza tu.

Dunia ya leo kuna wataalamu kama ‘Neil DeGresse Tyson, Sean Carrol, Brian Green and many others. Ambao wanatoa hiyo elimu bure you tube through their podcasts.

Binafsi naweza sema uelewa wangu ni mdogo sana. I get the theories, but it requires the mathematical understanding to call yourself an expert.

Sasa kama msingi mkuu wa moden physics ni ‘generał relativity’ na hata wanafunzi physics vyuo vikuu awafundishwi mpaka mwaka wa mwisho na vyuo vingine hiyo elimu inatolewa at masters levels.

Aina maana hakuna vitabu vilivyoandikwa kwa wepesi kutupa uelewa watu kama sisi au podcasts za wataalamu kuelezea haya mambo tuelewe.
 
Mkuu unajua hii issue ya string theory...?
Maana naanza kuvutiwa na utaalamu wako naweza pata kitu hapa
 
Na wale wanao sema wanasayansi waongo wamejuaje wakati hiyo Quantum mechanics inayotumia kudetect gravity na anti gravity ndio hiyo hiyo iliyotumika kutengeneza asilimia kubwa ya vifaa vya simu, MRI machines za hospitali ila kwenye simu hawashangai
Shida hapo ni wewe ni unaebishana nao.

Not long ago China wamefanya experiment ya quantum entanglement kutoka duniani hadi mwezini (or somewhere in space).

Thats like creating a wormhole, US wamepagawa. Sasa kubishana na watu ambao hawaelewi how far particle physics as yielded other innovation, ni kuamua kupoteza muda wako.

Otherwise inabidi uanze na hadithi za Marie Curie (ain’t nobody got time for that).
 
Mkuu unajua hii issue ya string theory...?
Maana naanza kuvutiwa na utaalamu wako naweza pata kitu hapa
Kama nilivyokwambia nenda you tube.

Ukitaka kujua sana kuhusu ‘String Theory’ msikilize ‘Sean Carrol’ huo ndio uwanja wake.

Sean Carrol ana ‘podcast’ yake akiamua kujibu maswali anaweza tumia masaa manne (kutoa elimu ya bure).

Vinginevyo mimi kukuelezea how ‘String Theorists’ view ‘Quarks’ as ‘Strings’ in their attempts to combine the ‘Stabdard model of particle physics’ and ‘General relativity’ in their attempt to include the force of gravity; tutakesha hapa.

But then, I was born to know the answer, sema nilizaliwa familia yenye ndugu sakapoko tu; hiko siku nitajibu kwa kujifunza mwenyewe.
 
Space kuna upepo?
Ndio, lakini sio kama huu duniani; katika solar system yetu na nyingine zilizopo huko Kuna kitu kinaitwa Solar Winds , huu ni kama upepo wa chembechembe ndogo (protons, neutrons na kadhalika) ambazo huzalishwa na milipuko ya nuclear inayotokea kwenye nyota
 
dosho12 following me is not advisory, huku uwa tunapita tu. Muda mwingi maisha yetu ni kugombana upuuzi jukwa la siasa.
 
Sio tu jua linalotembea bali hata galaxy pia zinatembea na kwa sasa galaxy yetu ikiwa inaelekea kwenye galaxy ya karibu inaitwa Andromeda

mkuu swali langu ni je tukigongana na andromeda itakuaje

Wewe ni fundi umeme kabisa...
Alafu naona kama unapinga elimu ya sayansi hapo juu
Sipingi bro,ni vile natetea uganga wa kienyeji au undundame tulionao waafrika,wa kusoma,kusikia na la Hakuna tunakoweza kwenda Kwa ajili yetu wenyewe na kukompete kwenye hii Dunia,nakuthibitishia nje kusoma na kuangalia yutybu Hakuna msomi mmbongo alowahithibisha haya.Ni kama vile tunaangalia muvi ya jackchan na jetlee,halafu tunaenda waambia watu kuwa sisi professional wa karate.
 
Mkuu tunasoma na prove tunafanya mathematical an (Theory)
 
Hivi huwa munathibitishaje mambo hayo, au huwa munakalilishana tu.
Chochote anachofahamu na kukitambua binadamu Karne ya 21 ni muendelezo wa maswali na experiment zilizofanyika kwa Karne na Karne ; haya mambo yalianza kwa kina Galileo huko mpaka Sasa
 
Back
Top Bottom