Kwahiyo NASA(wazungu) hauwaamini lakini watengeneza simu(wazungu) unawaamini😀?
Kwani walivyosema dunia ni duara(wakati ni uongo kama unavyoamini) wamenufaika na nini!!
Jana Kuna Mtu nilimuuliza Kitu na wewe Nitakuuliza Pia ili niweke Record sawa..
hivi Nasa Gani mnayozungumzia hawa Wanaoshtumiwa na Vitu Vingi sana Ikiwemo kutumia Area 51 Kufake Moon landing Kwani bado mnawaamini NASA??
Picha za Nasa Zinazo Onyesha Dunia ni Duara Zinaonyesha Ramani, tena kwa bahati mbaya kabisa Ramani ambayo imekuwa Projected Mwaka 1594, Ikiitwa "The Mercator Projection" . Ambayo Imetengenezwa na Gerardus Mercator..
Sasa Unashangaa Gerardus Mercator Mwaka huo kipindi anachora Ramani hakwenda mwezini wala Kwenye jua 😂😂 na wala Hakukuwa na Advance Technology na Alichora Hiyo Ramani tunayotumia Mpaka leo..
Cha Kushangaza Nasa Imeanzishwa July 29, 1958..
Ila wanatumia Ramani ya Gerardus mercator ya mwka 1594 ambaye Kipindi anaichora Hakukuwa na Ndege wala Helcopter (Maana ndege imegunduliwa mwaka 1903 na Wright brothers na wakati Huo ikiitwa Wright Flyer, Na bila kusahau Rocket ya Kwanza Imezinduliwa Mwaka 1926 na Robert H. Goddard...)
Wakati wakianza Kuwadanganya wapeni Facts..
Msiogope..
Sasa Nataka Uniambie Kati ya Mzee wa Zamani Gerardus Mercator ambaye alichora ramani akiwa Kwenye Boma lake kwa Kuwaza tu....
Ikumbukwe hata Sattelite ya Kwanza inasadikiwa Kurushwa October 4, 1957, iliyokuwa Ikiitwa Sputnik I
Sasa Hebu niambie huyo Mzee wa Kwanza kuchora Dunia Kwa Umbo la Duara Yeye Alikuwa Amekaa Wapi wakati hakukuwa na vifaa vyovyote vya Kuthibitisha Madai yake
Na NASA ambao Wanatumia Vifaa (Kama wanavyojinasibu) umewahi kuona Ramani nyingine ikiikosoa Ramani ya Mercator Projection hata kwa Longitudinal tu au Latitude?
Tutumie Akili Tulizopewa Sio kila kitu tunadanganywa
na kingine Katika Ugunduzi sio Mzungu peke yake wapo Racial Class zingine wamehusika Kwenye Ugunduzi mpaka wewe unatumia Simu kutoa Credit kwa Race moja ni utumwa wa akili..
Kuhusu Kunufaika Kwamba Wamenufaika na nini, Yaani kueneza Uongo huo wamenufaika na nini..
Unafahamu kuhusu Propaganda na Indoctrination.. kama Utakuwa Unafahamu mpaka Kufikia Creation of Mythology Bhasi utakuwa Unajua kwanini Uongo hutengenezwa..
Hii Hapa Chini Ni propaganda Model ukifatilia Utajua kwanini Watu hutengeneza Propaganda..So hata Moon Landing bado ni Propaganda
Kama Usipoelewa Hiyii Model niambie Nikuchambulia japo lengo mojawapo Ni namba 6 "Theophobization"
kuanza Kusema Mungu kawajalia bhna si unaona..Wamefanya Vile..
Kasome Propaganda Model Hutashtushwa na Propaganda Yoyote