Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Mzee sijuwi ni uliamua tu kujiita daktari?
Kwako wewe unaeleza vipi uwepo wa usiku na mchana? Kwanini sehemu moja ya dunia inakuwa usiku na sejemu nyingine inakuwa mchama?
Umepewa akiri fikiria basi sio kukaririshwa kama dunia ni flat, 100% ya flat eathers wote wamekaririshwa hakuna anayeweza kuthibitisha kama dunia ni flat
Utaratibu wa Mjadala Ni kuuliza swali bila kutoa Conclusion:

Tatizo kubwa La watu wanaojiita Round Earther sijui Circle Earther kwanza hawajawahi kuprove kuwa Dunia Ni Duara au Ni Tufe na Hakuna Picha yoyote inaonekana Original Photo sio hizi Generated..

Na umeuliza Kuhusu Mimi ni Daktari Damn Right I am a doctor who refused to be A toy for The Propaganda

Kitendo cha wewe Kutoa conclusion Kuwa Flat earther wamekaririshwa na hawana majibu ni wewe kuusemea Upande ambao licha ya kutokuujua hujawahi hata kusoma Reason zao..

Majibu Yako Ni kama Ifuatavyo..

Unaifahamu Ying Yang Actually Ying yang ni Kama ilivyo Movements ya Jua na Mwezi Over the Dome..

Angalia Video Hizo hapo Chini Zote Kuhsu Usiku na Mchana Jinsi unavyopatikana.

Shida watu huwa hawatumii akili kutafakari hayo wanayo letewa, na Hawa wanayo yaleta wamshajua ya kuwa wazi watu huwa hawahoji mambo.

Lakini kama mtu unamtumia akili na kuhoji Sayansi zaidi ya asilimia 70 ni uongo mtupu hasa Sayansi ya anga na Sayansi ya mambo ya tiba.
Na hapo Ndiyo wengi Hukosea Kabisa na Kupotoka
 
View attachment 3143153

View attachment 3143155
View attachment 3143156
So hizi video ni original na ndio “proof” ambayo sio image generate kuonyesha dunia ni flat 😂😂😂
 
So hizi video ni original na ndio “proof” ambayo sio image generate kuonyesha dunia ni flat 😂😂😂
Mimi sijasema Ni original ila nimejibu Alichouliza Kuwa Usiku na Mchana unapatikana vipi so nimeonyesha Jinsi unavyopatikana Na hakuna mahali nimesema Ni original..
Hiyo ni Kuonyesha How
 
Utaratibu wa Mjadala Ni kuuliza swali bila kutoa Conclusion:

Tatizo kubwa La watu wanaojiita Round Earther sijui Circle Earther kwanza hawajawahi kuprove kuwa Dunia Ni Duara au Ni Tufe na Hakuna Picha yoyote inaonekana Original Photo sio hizi Generated..

Na umeuliza Kuhusu Mimi ni Daktari Damn Right I am a doctor who refused to be A toy for The Propaganda

Kitendo cha wewe Kutoa conclusion Kuwa Flat earther wamekaririshwa na hawana majibu ni wewe kuusemea Upande ambao licha ya kutokuujua hujawahi hata kusoma Reason zao..

Majibu Yako Ni kama Ifuatavyo..

Unaifahamu Ying Yang Actually Ying yang ni Kama ilivyo Movements ya Jua na Mwezi Over the Dome..

Angalia Video Hizo hapo Chini Zote Kuhsu Usiku na Mchana Jinsi unavyopatikana.

View attachment 3143153

View attachment 3143155
View attachment 3143156
Ndo mana nasema, flat eathers wote mmekariri same kama unavyotoa huo mfano which you can't actually explain what's happening there na ambao sio dunia but you assume it to be the Earth.
Kama unavyosema dunia iko flat natumai unaelewa pia its mass would be distributed over the 2 dimensional plane, for this case tutakuwa na dofferential mass dm on each differential area dA wewe unahisi hiki kimass dm kitatoa gravity ya kutosha kuuzungusha mwezi at 28 days period katika umbali uliopo saivi?
Secondly, kama dunia ni flat na unakubali pia mwezi unazunguka dunia as per your examples and diagrams, nimeona pale mwezi unazingukia huku around the corner kabisa ya hiko ki flat plane, incase hujuwi hiki anything in a circular motion would normally be accelerated radically away from the center ya duara inayozungukia (centrifugal acceleration) unataka kubishana chukuwa jiwe lifunge na mpira/rubber kisha anza kuzungusha utaona mpira unastretch away from center ya duara. gravity kwa kawaida inaact kwenye direction along the line joining the center of two masses (Universal law of gravitation, Huwezi kuoinga hii unless unatheory yako itakayotueleza kwa vipi rocket zinaondoka hapa duniani, kwa vipi artificial satelite na hizi geostationary satelite zinaweza kuwekwa kwenye orbit husika) , kwenye mchoro wako hapo tunaexpect Earth gravity ielekee straight upward perpendicular to the Earth's plane na mwezi nauona hapo unazunguka around earth, How could that motion be possible??? Hakuna component yoyote ya Earth's gravitational field inayotoa centripetal force ya kuushikilia mwezi sasa iweje mwezi uendelee kubaki hapo???
Pia nataka nijuwe Mwezi nao uko flat or ni dunia peke yake??

Mr doctor, This is not biology were you can boldly claim humans evolved from apes with no empirical evidence. Everything is supposed to make sense Mathematically sio kwa midomo tu na maamuzi yako binafsi hapa unatuekea kaflat plane na unatarajia mwezi utazunguka na kubaki hapo hapo kwenye huo mduara.
 
Shida watu huwa hawatumii akili kutafakari hayo wanayo letewa, na Hawa wanayo yaleta wamshajua ya kuwa wazi watu huwa hawahoji mambo.

Lakini kama mtu unamtumia akili na kuhoji Sayansi zaidi ya asilimia 70 ni uongo mtupu hasa Sayansi ya anga na Sayansi ya mambo ya tiba.
Ndo shida yenu wanafalsafa, Science haiproviwi kwa kufkiria tu na kuamua! Lazima ufikirie interms of laws of nature na uhakikishe by Mathematics. Mnataka kuingiza falsafa kwenye sayansi hapo ndo mnapofeli
 
Jana Kuna Mtu nilimuuliza Kitu na wewe Nitakuuliza Pia ili niweke Record sawa..

hivi Nasa Gani mnayozungumzia hawa Wanaoshtumiwa na Vitu Vingi sana Ikiwemo kutumia Area 51 Kufake Moon landing Kwani bado mnawaamini NASA??

Picha za Nasa Zinazo Onyesha Dunia ni Duara Zinaonyesha Ramani, tena kwa bahati mbaya kabisa Ramani ambayo imekuwa Projected Mwaka 1594, Ikiitwa "The Mercator Projection" . Ambayo Imetengenezwa na Gerardus Mercator..

Sasa Unashangaa Gerardus Mercator Mwaka huo kipindi anachora Ramani hakwenda mwezini wala Kwenye jua 😂😂 na wala Hakukuwa na Advance Technology na Alichora Hiyo Ramani tunayotumia Mpaka leo..

Cha Kushangaza Nasa Imeanzishwa July 29, 1958..
Ila wanatumia Ramani ya Gerardus mercator ya mwka 1594 ambaye Kipindi anaichora Hakukuwa na Ndege wala Helcopter (Maana ndege imegunduliwa mwaka 1903 na Wright brothers na wakati Huo ikiitwa Wright Flyer, Na bila kusahau Rocket ya Kwanza Imezinduliwa Mwaka 1926 na Robert H. Goddard...)

Wakati wakianza Kuwadanganya wapeni Facts..

Msiogope..

Sasa Nataka Uniambie Kati ya Mzee wa Zamani Gerardus Mercator ambaye alichora ramani akiwa Kwenye Boma lake kwa Kuwaza tu....

Ikumbukwe hata Sattelite ya Kwanza inasadikiwa Kurushwa October 4, 1957, iliyokuwa Ikiitwa Sputnik I
Sasa Hebu niambie huyo Mzee wa Kwanza kuchora Dunia Kwa Umbo la Duara Yeye Alikuwa Amekaa Wapi wakati hakukuwa na vifaa vyovyote vya Kuthibitisha Madai yake

Na NASA ambao Wanatumia Vifaa (Kama wanavyojinasibu) umewahi kuona Ramani nyingine ikiikosoa Ramani ya Mercator Projection hata kwa Longitudinal tu au Latitude?

Tutumie Akili Tulizopewa Sio kila kitu tunadanganywa

na kingine Katika Ugunduzi sio Mzungu peke yake wapo Racial Class zingine wamehusika Kwenye Ugunduzi mpaka wewe unatumia Simu kutoa Credit kwa Race moja ni utumwa wa akili..

Kuhusu Kunufaika Kwamba Wamenufaika na nini, Yaani kueneza Uongo huo wamenufaika na nini..

Unafahamu kuhusu Propaganda na Indoctrination.. kama Utakuwa Unafahamu mpaka Kufikia Creation of Mythology Bhasi utakuwa Unajua kwanini Uongo hutengenezwa..

Hii Hapa Chini Ni propaganda Model ukifatilia Utajua kwanini Watu hutengeneza Propaganda..So hata Moon Landing bado ni Propaganda

Kama Usipoelewa Hiyii Model niambie Nikuchambulia japo lengo mojawapo Ni namba 6 "Theophobization"
kuanza Kusema Mungu kawajalia bhna si unaona..Wamefanya Vile..

Kasome Propaganda Model Hutashtushwa na Propaganda Yoyote
View attachment 3140458
Sayansi sio falsafa mzee, achana na kuaminishwa theory za watu! Probably your Math is weak ndo mana una assume kila kitu kwa hali ya kawaida
There's a way that nature works sio tu kwa kuamua na kuchora chora kama maandazi
Watu wa falsafa komaeni na falsafa zenu na kuamini theory za watu mambo msiyoyajuwa acheni
Your math is so weak to resolve planetary motion sasa nini kitamake sense kwako??
Nyie ndo wale mnakariri vitabu vyenu vya kipuuzi puuzi vya falsafa sijuwi nani kasema hivi nani kasema hivi halafu mnakalisha watu wasio na elimu kuwaambia ujinga wenu. I assure you! Hakuna proof unaweza kutoa zaidi ya kusema naniliu alisema hivi naniliu alisema hivi, sijuwi propaganda model wtf!!!! Uyo aliyesema propaganda model unamuamini halafu huamini picha za dunia zilizopigwa na satelite? Uyo jamaa wa video anayeclaim bila ushahidi wa kuprovika unamuamini halafu huamini NASA? kweli kuna mwamba alishasema humu kubishana na nyie ni kukosa muda
Kama iyo video yako eti mtu anakwambia you can proove by observing during winter sijuwi summer are you guys normal??
Model hazitengenezwi kwa kuobserve mkuu you need to formulate mathematical analysis na lazima iwe Mathematically possible. Nkikuambia saivi elezea theory zako za flat earth, lunar motion na mijongeo ya dunia na jua zinatokea vipi huwezi bila kumtaja nani alisema hivi halafu unasema eti hujakariri uko normal kweli mzee???
 
Can You show Me, Picha Yoyote ya Dunia Iliyopigwa na Satellite! Can you all the picture are CGI related..

Unaandika Maandishi mengi But yote hayana Maana..

Umewahi Kufika Kwenye Mwezi?? Au na wewe utaniambia kwa sababu imeandikwa?
Umewahi Kuiona Gravity au ni kwa sababu unaisoma?

Umewahi Kuona Ramani Modern tofauti na Mercator ProjectioN vipi NASA wametuletea Ramani ipi??

Unazungumzia Kuhusu Theory? Really Kitu ambacho mimi naweza nikakaa na kutunga..

Theoretical Physics And Geophysics Actually they are not Really science are just Branches of Philosophy kama Ulikuwa Hujui..

You can not even prove kwamba Kuna Sayari zingine how do you Found them..
Wakati kutoka Sayari moja mpaka Nyingine ni Hundreds of Lights Years..

Halafu unaniambia umeziona..Thats funny You just Thinks your Maths Ability will prove matter..
Thats Nonsensual Facts i ever heard
 
Mimi sijasema Ni original ila nimejibu Alichouliza Kuwa Usiku na Mchana unapatikana vipi so nimeonyesha Jinsi unavyopatikana Na hakuna mahali nimesema Ni original..
Hiyo ni Kuonyesha How
Ila zikitumika kwenye kuelezea dunia duara una zikataa na unataka uonyeshwe “original”?
 
Where did you get that?
Kutoka Earth mpaka nepture ni Neptune
60,190 days (i.e., 165 years)..

Kutoka Earth mpaka Sayari nyingine Zinazosupport Life ni 100 mpaka 3000 Light years..

Do you think Mimi ni kama Kuku I am Just Protest Kuhusu Dunia Kuwa Duara Without having the Knowledge ya Dunia Duara..

Hiyo knowledge licha ya Kuisoma Darasani Mpaka Kufikia Advance schools miaka ya 80s

Niliendelea Kusoma Sana kuhusu Hiyo dunia Kwa majarida mbalimbali Mimi Sio Mkurupukaji Najua Kuhusu Dunia Kuwa Duara na Najua Kuhush Dunia Kuwa Flat ila Nimechagua flat kutokana na Facts..

Kwahyo sifati Mkumbo
 
Kutoka Earth mpaka nepture ni Neptune
60,190 days (i.e., 165 years)..

Kutoka Earth mpaka Sayari nyingine Zinazosupport Life ni 100 mpaka 3000 Light years
Where did you get that info?
Have you been there mkuu?

Unatumia taarifa za vitu unavyo vikataa kupingia vitu unavyo vipinga
 
Where did you get that info?
Have you been there mkuu?

Unatumia taarifa za vitu unavyo vikataa kupingia vitu unavyo vipinga
Nimejibu Swali ulilouliza Mkuu..
Offcuz I am well Informed kuhusu Dunia Duara na kwa miaka Mingi sana nimekuwa nikisoma..

Na ninaweza kujibu maswali mengi sana kuhusu Dunia Duara na Nikashinda..
Ila nimechagua Upande wa Ukweli sio Wa Kukariri...

Nimekuuliza Unafahamu Ramani ya Dunia Iliyotengenezwa Baada ya ile Ramani ya mwaka 1550s ya Merca...Projection?
 
Utaratibu wa Mjadala Ni kuuliza swali bila kutoa Conclusion:

Tatizo kubwa La watu wanaojiita Round Earther sijui Circle Earther kwanza hawajawahi kuprove kuwa Dunia Ni Duara au Ni Tufe na Hakuna Picha yoyote inaonekana Original Photo sio hizi Generated..

Na umeuliza Kuhusu Mimi ni Daktari Damn Right I am a doctor who refused to be A toy for The Propaganda

Kitendo cha wewe Kutoa conclusion Kuwa Flat earther wamekaririshwa na hawana majibu ni wewe kuusemea Upande ambao licha ya kutokuujua hujawahi hata kusoma Reason zao..

Majibu Yako Ni kama Ifuatavyo..

Unaifahamu Ying Yang Actually Ying yang ni Kama ilivyo Movements ya Jua na Mwezi Over the Dome..

Angalia Video Hizo hapo Chini Zote Kuhsu Usiku na Mchana Jinsi unavyopatikana.

View attachment 3143153

View attachment 3143155
View attachment 3143156
Ni kitu gani kinachosababisha hicho kivuli/giza kwenye hiyo dunia tambarare?
 
Nimejibu Swali ulilouliza Mkuu..
Offcuz I am well Informed kuhusu Dunia Duara na kwa miaka Mingi sana nimekuwa nikisoma..

Na ninaweza kujibu maswali mengi sana kuhusu Dunia Duara na Nikashinda..
Ila nimechagua Upande wa Ukweli sio Wa Kukariri...

Nimekuuliza Unafahamu Ramani ya Dunia Iliyotengenezwa Baada ya ile Ramani ya mwaka 1550s ya Merca...Projection?
Mkuu kabla hatujafika huko kwanza

Unaweza kunipa sababu za MSINGI kabisa kwanini inadanganywa kwamba dunia ni duara?

Na ni akina nani hao “wanaodanganya” dunia ni duara na kwa maslahi yapi?
Na ni akina nani wanaodanganywa dunia ni duara?
 
Back
Top Bottom