Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Sipingi bro,ni vile natetea uganga wa kienyeji au undundame tulionao waafrika,wa kusoma,kusikia na la Hakuna tunakoweza kwenda Kwa ajili yetu wenyewe na kukompete kwenye hii Dunia,nakuthibitishia nje kusoma na kuangalia yutybu Hakuna msomi mmbongo alowahithibisha haya.Ni kama vile tunaangalia muvi ya jackchan na jetlee,halafu tunaenda waambia watu kuwa sisi professional wa karate.
Sasa Mkuu, hivi umewahi kujiuliza nchi ngapi zimetenga bajeti ya kueleweka Katika masuala ya uchunguzi wa anga? Ukiondoa USA , Russia, China , EU (nchi nyingi hoe hae zimebebwa na umoja huu ingawa nao wazembe kama huku tu), India , Israel
Kwahiyo hao wote wengine ambao hawapo katika mpango huu nao lazima wathibitishe kile wanasayansi wanachosema juu ya uchunguzi wao?
 
Sasa unapata vipi guts za kujiita scientist bila kujithibitishia angalau hiko kidogo TU?sasa utawabadlisha vipi watu Hawa akina Ndege JoHN wanaobisha Kwa kusema ni matango pori TU hayo?!!!
 
Ndio, lakini sio kama huu duniani; katika solar system yetu na nyingine zilizopo huko Kuna kitu kinaitwa Solar Winds , huu ni kama upepo wa chembechembe ndogo (protons, neutrons na kadhalika) ambazo huzalishwa na milipuko ya nuclear inayotokea kwenye nyota
Ni hivi ‘solar winds’ hazina influence kwenye mwendo wa jua.

Solar winds (flare) athari zake kwetu ni radiation tu (ambazo) earth atmosphere inazikinga na kuishia kuonekana kama ‘aurora’, zikiwa kubwa sana na kupenya kwenye earth atmosphere madhara yake ni kwenye vyombo vya electronics duniani.

But it has nothing to do na maswala ya sun orbit through the galaxy or earth orbit through the sun.

Influence ya jua letu ni kubwa sana inaenda mpaka kwenye ‘Oort Cloud’ na kila kitu kilichopo ndani yake kinasukumwa na jua la that’s the ‘solar system’. Bado ujazungumzia ‘dark matter’.

Ni hivi elimu leo ni bure na kuna wataalamu luluki wana podcasts zao kuelezea haya mambo.

Niwatakie majabizano ya kujenga.

By the way jua letu pia ni special kwenye milkway kwa kuwa pekee. Kwa sababu kwenye millions of stars zilizopo kwenye galaxy, solar systems nyingi zina binary and triple star systems.

Bye, ngoja nikatafute ugomvi jukwaa la siasa.

👋
 
Kitu ambacho huwa napinga ni pale mmbongo mwenye degree kadhaa,kujiita msomi au blah blah bila innovation yeyote kwenye jamii yake sababu hiyo ndo shabaha ya elimu,tofauti na hapo wewe ni mwanasiasa TU kama wengineo!!!
 
Yaani unaka kusema 😂😂😂😂😂
Wewe sasa utapigwa ujue
 
milkway na andromeda zitaungana na kuwa galaxy moja kubwa ila muungano huo hautakuwa na athari yoyote kwenye mfumo wetu wa jua
Mmh Mungu saidia nisiwepo kwakweli!

Sitaki kabisa kushuhudia kile kitachotokea mimi heka heka sitaki kwa kweli..!
 
Ni dhambi kupewa utashi na ukashindwa kustaajabu na kujifunza kile Muumba amekiumba; sio Kila unachojifunza kikuguse Moja kwa Moja
Kweli inasaidia pia kuongeza imani kuwa Mungu ni mkubwa na kuna vitu vingi ameumba sio tu tunavyo viona hapa duniani
 
Haya sasa, yale yalee!
Sayans ya mambo ya anga me sijawahi kuielewa, naona kama tunalishana matango poli tu. Mfano mzuri kwenye swala la umbo la Dunia yetu, wapo wanaosema tufe na wengine flat.
Huu mjadala ulishafungwa kitambo, tangu Mrusi alivyorusha satellite ya kwanza Sputnik 1 takribani miaka 70 iliyopita hiyo hoja ya kwamba Dunia ni flat ilishafutwa; wanaokomaa nayo mpaka Leo Wana matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom