ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mtu anayesema wanasayansi waongo jua kuna mawiliNa wale wanao sema wanasayansi waongo wamejuaje wakati hiyo Quantum mechanics inayotumia kudetect gravity na anti gravity ndio hiyo hiyo iliyotumika kutengeneza asilimia kubwa ya vifaa vya simu, MRI machines za hospitali ila kwenye simu hawashangai
Ni kukaririshana TU na kuwa wakili mzuri wa utetezi!!!Hivi huwa munathibitishaje mambo hayo, au huwa munakalilishana tu.
Safiiii solar wind.....Hakuna Air [upepo] ila kuna wind [ upepo] jua lina zalisha solar wind
Alafu wewe si fundi umeme kabisa....Ni kukaririshana TU na kuwa wakili mzuri wa utetezi!!!
Nope, ni kupenda kujifunza tu.Mkuu upo deep sana kwa astronomy et .?
Mkuu unajua hii issue ya string theory...?Nope, ni kupenda kujifunza tu.
Dunia ya leo kuna wataalamu kama ‘Neil DeGresse Tyson, Sean Carrol, Brian Green and many others. Ambao wanatoa hiyo elimu bure you tube through their podcasts.
Binafsi naweza sema uelewa wangu ni mdogo sana. I get the theories, but it requires the mathematical understanding to call yourself an expert.
Sasa kama msingi mkuu wa moden physics ni ‘generał relativity’ na hata wanafunzi physics vyuo vikuu awafundishwi mpaka mwaka wa mwisho na vyuo vingine hiyo elimu inatolewa at masters levels.
Aina maana hakuna vitabu vilivyoandikwa kwa wepesi kutupa uelewa watu kama sisi au podcasts za wataalamu kuelezea haya mambo tuelewe.
Andromeda and the Milky Way are gravitationally bound to each other. Ok kumbe sababu ni hiimilkway na andromeda zitaungana na kuwa galaxy moja kubwa ila muungano huo hautakuwa na athari yoyote kwenye mfumo wetu wa jua
Alafu wewe si fundi umeme kabisa....
Malizia sentensi kiongozi ipo nusu hiyo!!!Alafu wewe si fundi umeme kabisa....
Shida hapo ni wewe ni unaebishana nao.Na wale wanao sema wanasayansi waongo wamejuaje wakati hiyo Quantum mechanics inayotumia kudetect gravity na anti gravity ndio hiyo hiyo iliyotumika kutengeneza asilimia kubwa ya vifaa vya simu, MRI machines za hospitali ila kwenye simu hawashangai
Wewe ni fundi umeme kabisa...Malizia sentensi kiongozi ipo nusu hiyo!!!
Kama nilivyokwambia nenda you tube.Mkuu unajua hii issue ya string theory...?
Maana naanza kuvutiwa na utaalamu wako naweza pata kitu hapa
Ndio, lakini sio kama huu duniani; katika solar system yetu na nyingine zilizopo huko Kuna kitu kinaitwa Solar Winds , huu ni kama upepo wa chembechembe ndogo (protons, neutrons na kadhalika) ambazo huzalishwa na milipuko ya nuclear inayotokea kwenye nyotaSpace kuna upepo?
Sio tu jua linalotembea bali hata galaxy pia zinatembea na kwa sasa galaxy yetu ikiwa inaelekea kwenye galaxy ya karibu inaitwa Andromeda
mkuu swali langu ni je tukigongana na andromeda itakuaje
Sipingi bro,ni vile natetea uganga wa kienyeji au undundame tulionao waafrika,wa kusoma,kusikia na la Hakuna tunakoweza kwenda Kwa ajili yetu wenyewe na kukompete kwenye hii Dunia,nakuthibitishia nje kusoma na kuangalia yutybu Hakuna msomi mmbongo alowahithibisha haya.Ni kama vile tunaangalia muvi ya jackchan na jetlee,halafu tunaenda waambia watu kuwa sisi professional wa karate.Wewe ni fundi umeme kabisa...
Alafu naona kama unapinga elimu ya sayansi hapo juu
Mkuu tunasoma na prove tunafanya mathematical an (Theory)Sipingi bro,ni vile natetea uganga wa kienyeji au undundame tulionao waafrika,wa kusoma,kusikia na la Hakuna tunakoweza kwenda Kwa ajili yetu wenyewe na kukompete kwenye hii Dunia,nakuthibitishia nje kusoma na kuangalia yutybu Hakuna msomi mmbongo alowahithibisha haya.Ni kama vile tunaangalia muvi ya jackchan na jetlee,halafu tunaenda waambia watu kuwa sisi professional wa karate.
Chochote anachofahamu na kukitambua binadamu Karne ya 21 ni muendelezo wa maswali na experiment zilizofanyika kwa Karne na Karne ; haya mambo yalianza kwa kina Galileo huko mpaka SasaHivi huwa munathibitishaje mambo hayo, au huwa munakalilishana tu.
Sure?sasa Kuna impact Gani kwenye jamii yetu ya watu WEHUsi?Mkuu tunasoma na prove tunafanya mathematical an (Theory)