Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

Hata uwanjani jezi hiyo adimu.
 
Ndege zote za Kimataifa huwa hazifanyi safari siku ya Ijumaa 13th......na zikifanya hivyo kuna hatari ya kupata balaa
 
Thanks for such an incredible analysis. There is a promising smell on the evident of number 13 to be unlucky number.
But, all in all it will remain in one's belief whether it's correct or not.
 
Hapo kwenye ghorofa utajengaje bila kupitia mtiririko wa namba? Kwa kuzipa majina sawa ila kiuhalisia no. 13 inakuwepo.
Mm huwa siamini hizi imani kbsa.
hawazipi majina,ndo mana mtoa mada kasema hakuna chumba namba 13 kwenye mahotel but kwa kuhesabu unaweza kupata room ya 13 but inakua named 12B....you feel me dude?
 
Nimesikia sana hili jambo sijui lina ukweli kiasi gani
 
Hata magari ya mashindano, hakuna gari inayobandikwa namba 13 ubavuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…