Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

Katika harakati zangu za hapa na pale nimekuja kugundua jambo kuhusu hii namba 13,huku wengi wakiihusisha namba hiyo na nguvu za kishetani...mfano mdogo karibia hoteli zote duniani hakuna chumba namba 13,badala yake wanaweka chumba namba 12A na 12B.

Kibiashara pia tarehe 13 inahusishwa kuwa ni siku ya kutoa sadaka kwa mizimu,mara nyingi siku hii inakuwa haina faida kwao,mauzo yanashuka kiasi.

Kwenye usafiri,mara nyingi watu wenye nguvu za giza hawezi kukaa siti namba 13,wengi wanaikwepa.....fanya utafiti utagundua.

Kwa wafanyakazi maofisini kuanzia siku ya 13 kunakuwaga na nuksi na mifarakano ya hapa na pale.

Ukienda Mahospitalini Kitanda namba 13 kinachukua sana uhai wa watu,kwa waliokomaa kwenye nguvu za kishetani huwezi kumlaza kitanda hicho yuko radhi akaugulie nyumbani au ahame kitanda kuliko kulala hicho kitanda.

Bado nafatilia kwenye mambo ya ndoa na kifamilia ili niweze kubaini 13 ina nafasi gani kwenye sehemu hizo.

Kama ulikuwa hujui jaribu kufatilia kuanzia leo utapata ukweli,....
Jersey namba 13 pia ni nuksi, Michael Ballack anajuta kuivaa pale Chelsea.
 
Bila picha haya mambo yote ninadharia tu na yakufirika tu.
 
Kwenye mpira jezi namba 13 mara nyingi huvaliwa na golikipa tena wale wanaokaa benchi.

Michael Ballack ambaye enzi anacheza alipenda kuvaa jezi namba 13 nae amekutwa na maswahibu ya mkosi wa namba hiyo kama ifuatavyo:

2002 - Ballack akiwa Bayer Leverkusen alifungwa Fainali ya Uefa Champions League na Real Madrid

2002 - Ballack na timu ya taifa ya Ujerumani walifungwa fainali ya kombe la dunia na taji hilo kwenda Brazil.

2008 - Ballack akiwa na Chelsea walifungwa fainali ya Uefa na Man Utd

2008- Ballack akiwa na Ujerumani wanafungwa fainali ya Euro dhidi ya Hispania.

Huo ni mfano wa mkosi alioupata Michael Ballack akiwa na jezi namba 13 katika hizo fainali.
 
Dah! na sie tuliozaliwa tarehe 13 tufanyeje sasa? maana dah!
Kwa mujibu wa wanajimu,wasema kuna idadi ndogo sana duniani ya watu waliozaliwa tarehe 13,wengi wao hufariki dunia wakiwa watoto wadogo sana na endapo wakifanikiwa kukua na kuishi wanakuwa si wa kawaida.....jaribu kufatilia utabaini kwani hata Nyerere alizaliwa tarehe hiyo,fatilia kwa makini hata wewe watu wanakuchukuliaje mtaani kwenu...
 
Let the fact speak for themselves
 
Ongezea ongezea Nyama kidogo mimi nimezaliwa, June 13
 
hawazipi majina,ndo mana mtoa mada kasema hakuna chumba namba 13 kwenye mahotel but kwa kuhesabu unaweza kupata room ya 13 but inakua named 12B....you feel me dude?
There you're... Na hiyo ni kawaida.Kuna lodge zinakuwa labelled namba 100,101,102 n.k wakati ina vyumba 10 au 11.
Kwa hiyo mtoa mada yuko sahihi kwa kuwa namba 13 inakuwa imerukwa.
 
Nalisikia Clouds Jahazi wanasema kwa waChina ikiwa Ijumaa tarehe 13 ndio inakua ya nuksi mpaka watu hawatoki majumbani kwa muda fulani. Wenyewe wanaita "Friday Thirteenth"
Tafuta muvi yake.
Friday, The thirteenth.
 
Back
Top Bottom