Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

Duuh hatari bonge la gundu
 
kwa mujibu wa mtoa mada anasema watu wakiozaliwa 13 n wachache sana duniani na wakibahatika kuishi wanakuwa si wa kawaida....we ukoje?
Kutokuwa kawaida kivipi,mi nipo kawaida kabisa mbona
 
Bro najua hujafanya utafiti ila ume kremishwa tu
 
Vipi kama mtu ukijenga kiwanda halafu kikazinduliwa tarehe 13?
 
Acha kuamini ushirikina
 
chuoni nilikuwa #13 ila sikufeli
 
Park Ji Sung alifanikiwa akiwa United na hiyo jezi
 
Myths tu hakuna kitu chochote....sasa kinamba ukitoka 12 si inaingia 13? Hata ukiskip ukaweke 14 still ni 13 tu labda usijenge hapo 13 uweka parking ya magari na 14 ndio ofisi/vyumba etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…