Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

Ndiyo maana ule Uhuru wa Zanzibar wa akina Abrahaman Babu wa tarehe 13/12/1963 ulionekana batili na ule wa akina Karume wa 12/01/1964 ulikubalika hadi ktk historia.
 
Kwakupuuza mambo ya mila na desturi , ndio maana madhara yanayupata kila siku
 
Kwa Michael Ballack kuna ukweli mkuu ila sio wa sahihi kabisa. Nakumbuka alivunjwa mguu na Kevin prince boating aka miss fainal za kombe la dunia 2010.

Ngoja nikupe mfano wa walitumia namba 13 na mambo yapo vizuri uwanjani.
Thomas Muller kazaliwa tarehe 13, anavaa namba 13 akiwa na timu yake ya taifa ya ujerumani.
Ujerumani imechukua kombe la dunia 2014 jamaa akiwa na hiyo namba. 13.
Thibault Courtois akiwa Chelsea na namba 13 kachukua makombe.

Kwa kifupi mkuu hii namba haina shida kwa wale wamuabudio MUNGU ila ina shida kwa waabudu shetani.
 
Duh noma sana
 
Hapo kwenye ghorofa utajengaje bila kupitia mtiririko wa namba? Kwa kuzipa majina sawa ila kiuhalisia no. 13 inakuwepo.
Mm huwa siamini hizi imani kbsa.
Imani zipo na zitakuwepo daima na milele
 
mmmh mimi nimezaliwa tareh 13/6.... mama yangu alizaliwa tareh 13/7.....!! mmmh
 
Mimi nimezaliwa tarehe 13 nimebarikiwa mpaka najishangaa,labda ndio maajabu ya namba 13
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…