Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Katika harakati zangu za hapa na pale nimekuja kugundua jambo kuhusu hii namba 13,huku wengi wakiihusisha namba hiyo na nguvu za kishetani...mfano mdogo karibia hoteli zote duniani hakuna chumba namba 13,badala yake wanaweka chumba namba 12A na 12B.
Kibiashara pia tarehe 13 inahusishwa kuwa ni siku ya kutoa sadaka kwa mizimu,mara nyingi siku hii inakuwa haina faida kwao,mauzo yanashuka kiasi.
Kwenye usafiri,mara nyingi watu wenye nguvu za giza hawezi kukaa siti namba 13,wengi wanaikwepa.....fanya utafiti utagundua.
Kwa wafanyakazi maofisini kuanzia siku ya 13 kunakuwaga na nuksi na mifarakano ya hapa na pale.
Ukienda Mahospitalini Kitanda namba 13 kinachukua sana uhai wa watu,kwa waliokomaa kwenye nguvu za kishetani huwezi kumlaza kitanda hicho yuko radhi akaugulie nyumbani au ahame kitanda kuliko kulala hicho kitanda.
Bado nafatilia kwenye mambo ya ndoa na kifamilia ili niweze kubaini 13 ina nafasi gani kwenye sehemu hizo.
Kama ulikuwa hujui jaribu kufatilia kuanzia leo utapata ukweli,....