Fahamu Solar System na Jupiter/Saturn System ambao hukuwahi kuujua

Fahamu Solar System na Jupiter/Saturn System ambao hukuwahi kuujua

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Huu ndo mfumo wa sayari achana kupitia attachment, achana na huo ambao unaouona kutokea NASA

A- sun
Jua haina umbo la duara kama tunavyoaminishwa, kwa lugha nyingine hakuna star yenye umbo la duara kama tunavyoaminishwa

B- Sun Fussion activity
Tofauti na saturn na jupiter, fussion activity kwenye jua iko active ndo maana ina uwezo wa kuzalisha energy, ila solar energy mwisho wake ni kwenye sayari ya mars haiendi zaid ya hapo

C- Mercury na orbit yake
Sayari ya mercury haina ozone layer ndo maana hakuna maisha

D- Venus na orbit yake
Sayari ya venus haina ozone layer ndo maana hakuna maisha

E- Earth na orbit yake
Sayari ya earth ndo pekee yenye ozone layer ndo maana maisha yanawezekana

G- Asteroids belt
Hii belt ina-act kama buffer zone kati ya mfumo wa jua na mfumo wa saturn/jupiter

H- Jupiter
Hii sio sayari bali ni nyota kama ilivyo jua ndo maana ina composition sawa na jua hydrogen na helium, kwa sababu haipo active jupiter energy haiwezi zifikia neptune, uranus na pluto ndo maana zina barafu

I- Jupiter Fussion activity
Hapa ndo helium na hydrogen zina bond kwa pamoja ili zizalishe energy, ila tofaut na jua fussion kwenye jupiter haifanyi kazi

J- Saturn
K-Saturn Fussion activity
Hapa ndo helium na hydrogen zina bond kwa pamoja na zinazalisha energy, ila tofaut na jua fussion kwenye saturn fussion haifanyi kazi ndo maana sayari za uranus na neptune zinabarafu

L- Uranus na orbit yake
Sayari ya uranus haina ozone layer ndo maana maisha hayawezekani, na haipati kabisa jupiter na saturn energy ndo maana ina barafu

M- Neptune na orbit yake
Sayari ya neptune haina ozone layer ndo maana maisha hayawezekani, na haipati kabisa jupiter na saturn energy ndo maana ina barafu

N- Pluto na orbit yake
Sayari ya pluto haina ozone layer ndo maana maisha hayawezekani, na haipati kabisa jupiter na saturn energy ndo maana ina barafu.

1796C2E9-1913-45FB-9E7F-95385F973142.jpeg
 
Sawa,mambo ya sayansi ya anga a.k.a mbinguni.
wakati Israel inafanya kilimo cha umwagiliaji kutoka kwenye vyanzo vyake vya maji,waafrica wanapiga magoti kuomba Mungu wa israel alete mvua.
NASA wana spend billion kwenye science ambao unaibeza.

Kwa kukusaidia kama sio science ya anga kusingekua na kitu kinachoitwa satellite na information technology/telecommunication/computer science
 
Duh!!!....
Uliyoandika hapa hata Google yapo..
Google wanasema jupiter/saturn zinazunguka jua
Ila nakuhakikishia jupiter/saturn haizunguki jua na hulikua hujui

Neptune/saturn/pluto hazizunguki jua na hulikua hujui

Na hakuna sayari inayozunguka jua kama unavyoaminishwa huko shuleni na hili hulikua hujui nauhakika
 
NASA wana spend billion kwenye science ambao unaibeza
Kwa kukusaidia kama sio science ya anga kusingekua na kitu kinachoitwa satellite na information technology/telecommunication/computer science
sijaebeza asayansi chif mimi muumini mkubwa wa elimu ya anga.

#Moudy Swema.
#Cekam Cekam's
#Yassin Mustapha Mora(mada ngumu)
 
Hivi ni kweli kuwa sayari za Jupiter, Saturn, Uranus na Neptune ni gesi tupu? Hivyo haiwezekani kwa kiumbe yabisi kusimama kwenye ardhi yake?
 
Hivi ni kweli kuwa sayari za Jupiter, Saturn, Uranus na Neptune ni gesi tupu? Hivyo haiwezekani kwa kiumbe yabisi kusimama kwenye ardhi yake?
Jupiter na saturn sio sayari ni nyota
Uranus na neptune zina ardhi sema kutokana na hazifikiwi na solar system basi zinabarafu nyingi
 
Hivi ni kweli kuwa sayari za Jupiter, Saturn, Uranus na Neptune ni gesi tupu? Hivyo haiwezekani kwa kiumbe yabisi kusimama kwenye ardhi yake?
Gas giant ni jupiter na saturn, neptune na uranus ni ice giants. Pluto is not a planet
 
Jupiter na saturn sio sayari ni nyota
Uranus na neptune zina ardhi sema kutokana na hazifikiwi na solar system basi zinabarafu nyingi
We umelewa au. For jupiter to be a red dwarf it has to be 200 Time it's current weight
 
Gas giant ni jupiter na saturn, neptune na uranus ni ice giants. Pluto is not a planet
Gas giant ni jupiter na saturn, neptune na uranus ni ice giants. Pluto is not a planet
Gas composition yaan helium na hydrogen ni sawa kwa jua, jupiter na saturn ndo kiuhalisia zile ni nyota

Tofauti ni kwamba jupiter na saturn haziwa ignite kama ilivyo kwa jua,
Na kwa sababu hazijawa ignite ndo sababu uranus na neptune kuwa na barafu
 
We umelewa au. For jupiter to be a red dwarf it has to be 200 Time it's current weight
Wewe ndo umelewa mara mbili sababu una-comment kwenye uzi wa mlevi

Nilichoandika nifikra zangu sijakaririshwa na zile nadharia za western kama wewe ulivyokaririshwa
 
Hivi ni kweli kuwa sayari za Jupiter, Saturn, Uranus na Neptune ni gesi tupu? Hivyo haiwezekani kwa kiumbe yabisi kusimama kwenye ardhi yake?
Ndiyo, sayari za Jupiter, Saturn, Uranus, na Neptune ni sayari za gesi, kwa hivyo hazina ardhi ngumu kama vile dunia. Zinajulikana kama sayari za gesi kwa sababu zina safu nyingi za gesi na mvuke ambazo zinaunda anga lao.

Kwa sababu ya hali ya sayari hizi, ni vigumu kwa kiumbe yabisi kusimama kwenye ardhi yao, kwa sababu hawana ardhi ya kutosha ambayo inaweza kusaidia uzito wao. Kwa kweli, hakuna kiumbe yabisi anayejulikana ambaye anaweza kuishi kwenye sayari hizi za gesi. Kwa hivyo, wanasayansi wamebuni njia za kusoma sayari hizi kwa kutuma vyombo vya angani ambavyo hufanya uchunguzi kutoka kwenye anga za juu na kupata data kuhusu sayari hizi.
 
Gas giant ni jupiter na saturn, neptune na uranus ni ice giants. Pluto is not a planet
Uranus na Neptune zina safu kubwa ya gesi, lakini pia zina kiasi kikubwa cha vifaa baridi kama vile maji, amonia, na methane katika hali ya kiowevu na kwa umbo la barafu ndani yake. Kwa sababu ya uwepo wa vifaa hivi baridi, sayari hizi mbili huitwa "Ice Giants."

Utafiti unaonyesha kuwa katika kina cha sayari hizi, joto na shinikizo ni vya juu sana na hufanya vifaa baridi hivyo kuwa katika hali ya kiowevu na gesi. Hata hivyo, safu ya nje kabisa ya sayari hizi mbili, inaonekana kuwa ya gesi zaidi, na hivyo ni tofauti kidogo na safu ya ndani.
 
Wewe ndo umelewa mara mbili sababu una-comment kwenye uzi wa mlevi

Nilichoandika nifikra zangu sijakaririshwa na zile nadharia za western kama wewe ulivyokaririshwa
Sasa haya mambo sio ya kufikiria mwenyewe tu. Wenzako wamefanya utafiti na jinsi ulivyoandika hii comment ni as if unajiona mjanja kuamini fikra zako na unawaona washamba wanaoamini Westerners.

Westerners wametoa utafiti wewe hujafanya utafiti wowote
 
Back
Top Bottom