Fahamu Solar System na Jupiter/Saturn System ambao hukuwahi kuujua

Fahamu Solar System na Jupiter/Saturn System ambao hukuwahi kuujua

Na nionyeshe andiko linaloelezea how to activate saturn and jupiter fussion activity
nimekaa pale nakusubiria
Wewe ndie mgunduzi!!..hizo sayari hazikuwepo na nini zimecontain haikujulikana mpaka wewe umetujulisha.
Hongera sana...
 
Swali langu kama jua iko nje ya dunia(galaxy) kwanini huko nje ni giza??na huku duniani tunapata mwanga
 
Tatizo waafrika tumeshikwa akili na wazungu kama wewe ndo maana hata kufanya uvumbuzi ni ngumu

jupiter na saturn ni sayari tofauti na jua ni kwamba fussion activity ya jupiter na saturn haiko active kama ilivyo kwenye jua
Wewe umetumia vifaa gani kujua kuna sayari inayoitwa Jupiter?

Acha kua mjinga kijana unatumia sayansi ya anga ya wazungu kupenyeza hoja zako za kipuuzi
 
Wewe umetumia vifaa gani kujua kuna sayari inayoitwa Jupiter?

Acha kua mjinga kijana unatumia sayari ya anga ya wazungu kupenyeza hoja zako za kipuuzi
Kwenye maisha tunaanzia walipoishia
Wewe endelea kuabudu wazungu
Alafu mim niache niendelee na hoja zangu za kipuuzi
 
Swali langu kama jua iko nje ya dunia(galaxy) kwanini huko nje ni giza??na huku duniani tunapata mwanga
Issue ni kwamba jua muda wote linatoa mwanga ila kutakana na mzunguko wa dunia kuna muda tuna pata giza upande mmoja na upande mwingine kunakua na mwanga yani (day / night).

Na pia tunajiulza kwanini kuna giza angani nyakati za usiku wakati jua lipo muda wote, hii ni kutokana ya hakuna vitu vya kureflect ule mwanga katika anga ya juu kama vile chembe za vumbi, hivyo mwanga kutoka kwenye jua unaweza kusambaa katika anga na kufanya eneo hilo lilionekana kuwa giza

Mwezi ndio unareflect mwanga wa jua ndio maana tunaona unawaka nyakati za usiku, mf kama kungekua na vumbi au mvuke mwingi basi kusingekua na giza

Au mf ukiwasha torch usiku alafu umulike angani alafu ukarusha vumbi au mchanga mbele yake utaona ile miale yake inaonekana zivur
 
Mtoa mada unachojaribu kufanya ni kulazimisha uonekane genius kama kina Einstein na Newton wakati siyo

Ujue wazungu hawakukurupuka tu kutoka usingizini kisha wakaja na hizo conclusions ni tafiti wamefanya miaka na miaka na wametumia mamilioni kwa mabilioni mengi mpaka zimekamilika

Halafu anaibuka ngumbaru mmoja huko ambaye hamiliki hata darubini anakuja na story zake za kwamba fulani na fulani siyo sayari ni nyota mara sijui zinahitaji artificial ozone layer ili ziweze kuwa na maisha

Umefanya lini na wapi utafiti wako ukagundua yote hayo mkae mkijua no research no right to speak heshimuni taaluma za watu

Lete ushahidi wa hayo mawazo yako la sivyo unabaki kuwa mjuaji kama wajuaji wengine tu
 
Mtoa mada unachojaribu kufanya ni kulazimisha uonekane genius kama kina Einstein na Newton wakati siyo

Wenzio hawakukurupuka tu kutoka usingizini kisha wakaja na hizo conclusions ni tafiti wamefanya miaka na miaka na wametumia mamilioni kwa mabilioni mpaka zimekamilika

Halafu anaibuka ngumbaru mmoja huko ambaye hamiliki hata darubini anakuja na story zake za kwamba fulani na fulani siyo sayari ni nyota mara sijui zinahitaji artificial ozone layer ili ziweze kuwa na maisha

Umefanya lini na wapi utafiti wako ukagundua yote hayo mkae mkijua no research no right to speak heshimuni taaluma za watu

Lete ushahidi wa hayo mawazo yako la sivyo unabaki kuwa mjuaji kama wajuaji wengine tu
Kuna sehemu yeyote nimeomba nionekane genius nimetoa maoni kitu ambacho ni haki yangu kama member wa jf

Sihitaji kuitwa genius wala sijaomba niitwe genius Hii ni forum kila mtu ana uhuru wa kuandaa uzi na kuupost kama hupendi au unaumia kupost thread basi pole sana, kwa kukusaidia muombe moderator aufute uzi inarusiwa

We acha nibaki mjuaji sababu hata nikikupa ushahidi hakuna utakachoniongezea sijakudharau hapana ila sikupi ushahidi
 
Kwenye maisha tunaanzia walipoishia
Wewe endelea kuabudu wazungu
Alafu mim niache niendelee na hoja zangu za kipuuzi
[emoji28][emoji28][emoji28] Kwa maana hiyo wewe sio mvumbuzi tena, Umeamua kuanzia walipoishia kufikiria wengine

Na ukumbuke uliandika kuwa unatumia fikra huru [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mtoa mada unachojaribu kufanya ni kulazimisha uonekane genius kama kina Einstein na Newton wakati siyo

Ujue wazungu hawakukurupuka tu kutoka usingizini kisha wakaja na hizo conclusions ni tafiti wamefanya miaka na miaka na wametumia mamilioni kwa mabilioni mengi mpaka zimekamilika

Halafu anaibuka ngumbaru mmoja huko ambaye hamiliki hata darubini anakuja na story zake za kwamba fulani na fulani siyo sayari ni nyota mara sijui zinahitaji artificial ozone layer ili ziweze kuwa na maisha

Umefanya lini na wapi utafiti wako ukagundua yote hayo mkae mkijua no research no right to speak heshimuni taaluma za watu

Lete ushahidi wa hayo mawazo yako la sivyo unabaki kuwa mjuaji kama wajuaji wengine tu
NAKAZIA 🤣🤣

"Mtoa mada unachojaribu kufanya ni kulazimisha uonekane genius kama kina Einstein na Newton wakati siyo"
 
Sawa,mambo ya sayansi ya anga a.k.a mbinguni.

Wakati Israel inafanya kilimo cha umwagiliaji kutoka kwenye vyanzo vyake vya maji,waafrica wanapiga magoti kuomba Mungu wa israel alete mvua.
Ni hatari TENA MPAKA MAPEPO NA MAJI NI TUNA YATOA KWA JINA LA MUNGU WA ISRAEL AMBAYE NI YESU, ELOHIM,ELISHADAYI hahahahahaaa
 
Wale watu wazaman waliokuja na idea ya space exploration hakuwah kwenda angani
Ntajie hivyo vitabu vilivyosafiri niliyoandika nimekaa pale
Walikuwa na madarubini makubwa sana kuangalia anga ndio wanakuletea information wameona nini

Saiv tech inakuwa wanakwenda moja kwa moja na pia wanavyovifaa bora zaid kusoma anga

Wewe ji mwambafai tu ila kamwe huwezi danganya jamii umeona hata object moja ukaelewa kwa macho

Vitabu kaka na haya ma gugoo
 
Back
Top Bottom