Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Ninamilike Merc. Na kilichoandikwa hakipo
Sema umri wa mmiliki unamatter sana. Dogo ski own merc kweli fujo zipo. Lakni mtu wa siku 50+ anakuwa mtulivu na very disciplined barabarani. Na mtu wa principles.
 
Bora na Kirikuu yangu staki makuuu mimi...Sjui ndo tabia zetu wenye Kirikuuu
 
Hahah soon utaenda kwny mazda atenza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiacha majungu...mazda wana magari mazuri sana tatizo ni hizo spea zake...
Kuna Atenza na Axela zina utamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah hii kali
 
Fuso: wamiliki wengi wa gari hili huwa ni mafupi na wana vitambi kama masunduku ya maagano.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe sanduku la agano uliliona wapi? Unazungumzia yale masunduku ya maagano ta enzi za Musa,Wana israel au
 
Sijaona VOLTZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…