Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Tabia za wamiliki wa TDI zinakuja katika sura mbili. TDI kama mmiliki ni mzee tabia rejea namba 13...kama mmiliki ni kijana rejea namba 11....hili halina ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Je vipi kama unamiliki magari tofauti unakuwa na tabia mbili au unabadilika kila ukiendesha aina fulani? Mfano 8 na 10?
 
Je vipi kama unamiliki magari tofauti unakuwa na tabia mbili au unabadilika kila ukiendesha aina fulani? Mfano 8 na 10?
Psychologically, binadamu yoyote huathiriwa na kitu cha kwanza kuwahi kukimiliki maishani......gari la kwanza kumiliki ndiyo tabia yako itabobea hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Aisee hahaha aya mkuu
 
Je sisi wa baiskeli za mota? Mbona tumeachwa?
 
Je sisi wa baiskeli za mota? Mbona tumeachwa?
Samahani hapa tulilenga wamiliki wa magari na si baiskeli...
Anyway nyie wa baiskeli A.K.A INJINI KIUNO mara nyingi huwa ni wachuuzi wa mazao mbalimbali ya kilimo....Tabia yenu nyingine ni kuoga mtoni wakati umefua nguo zako zikiendelea kukauka juu ya jiwe kisha uendelee kuzivaa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha.. Sawa kaka, kumbuka usafiri wangu una mota. Amani itamalaki.
 
Huajaweka Lamborghini,Hummer,Maserati,Bently,Rolls Royce wana tabia gani.
Mzee baba wamiliki wa ndinga hizi wanaishi kuleee ulimwenguni....Hapaa nimejaribu kujikita kwa wamiliki wa magari ambao tunaishi huku duniani...ndiyo maana nimeorodhesha zile common vehicles especially za kijapan ambazo ndizo nyingi huku duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha.. Sawa kaka, kumbuka usafiri wangu una mota. Amani itamalaki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hongera kwa ku-advance na kutumia mota...nadhani hiyo mota imepunguzia kiuno kazi na kiuno kimebaki na kazi moja tu ile ya chumbani....
Lakini tabia ipo pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…