Fahamu tafsiri sahihi ya kosa la uhaini na adhabu yake usije ukasema watu wanaonewa

kwenye jinai ni vitu 2 tu ndugu yangu- mens rea and actus reus - hebu dadavua hizo kwanza tuone kama watafungwa. Vnginevyo ni hearsay tu...
It may be noted that mens rea as such is not punishable. Thus if A has intention to kill B, A cannot be brought to the court on that ground; some act has to be done by A e.g., if A is discovered with a loaded gun in the compound of B, then A has done some act and he may be guilty. There are some exceptions to the general rule that intention as such is no crime, e.g. intention to commit some treason (crime against State) or conspiracy to commit a crime.
soma hii tena

Treason​

We affirm that not only have there been laws criminalizing purely mental activity in history, there are in fact still two such laws in force today, one in the United Kingdom, the Treason Act 1351,Footnote5 and one derived from it, a Malaysian law.Footnote6 Until very recently the Singaporean Penal Code contained a similar provision, but this was changed in 2019.Footnote7 (There are other superficially similar laws, such as the Kenyan Penal Code,Footnote8 the Criminal Consolidation Act 1935 of South Australia,Footnote9 and the Crimes Act 1900 of New South Wales,Footnote10 in other parts of the Commonwealth that are based instead on the Treason Felony Act 1848 (11 & 12 Vict c 12). Other common-law jurisdictions have had similar laws in the past, e.g. Western Australia.Footnote11) The Treason Act 1351 was the first Act in England to define the offence of treason,Footnote12 which had been thitherto an offence at common law (in fact, the Act is frequently said to be declaratory of the common lawFootnote13). The Act declared that treason was committed when
a man doth compass or imagine the death of our lord the King, or of our Lady his Queen, or of their eldest child and heir […] and thereof be provably attainted of open deed by the people of their condition.
 
Mimi nimeulizwa swali tu ndugu, mengine, siyajui...
Hahahahah sawa, mwambie aliyekuuliza kuwa mtu anaweza kushitakiwa na kufungwa kwa uhaini bila kuwa amekamilisha huo uhaini wenyewe
 
Exactly ç
 
Kipindi kile cha Kikwete mbona hao hao wakina Dr Slaa walisema nchi haitatawalika? Au sheria zimebadilika? Hizi ni kesi za kisaniii
Kila masika ina mbu wake na kila mbuyu una shetwani wake.
Ningefurahi sana kuona hao jamaa wakiadabishwa barabara na mahakama tukufu
 
Basi nchi hii imejaa wahaini kwa vifungu hivyo. Hii ni dalili ya katiba na sheria mbaya.
 
hili la udini tujishikilie vinginevyo tunakwenda kukinukisha

wooote wanaopinga uwekezaji huu ni ni udini tu

Hakuna kingine.
 
hili la udini tujishikilie vinginevyo tunakwenda kukinukisha

wooote wanaopinga uwekezaji huu ni ni udini tu

Hakuna kingine.
DP World waliwahi kufukuzwa Jibuti. Kwani Jibuti nako ni kwa wagalatia?
 
Sawa nadhani pia umeelewa
Ndio sasa ujue kuwa uhaini kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania una maana pana sana.

Kwenye KATIBA MPYA nadhani itabadilika kumbuka hii katiba ya sasa ni ya enzi za chama kimoja
 
  1. kujaribu kumuua Rais,-Nani alitaka kumwua?
  2. kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano,-Nani alitaka kuanzisha vita na JMT?
  3. kusababisha,-Kusababisha kitu gani kilichoonekana
  4. kuwezesha,-Kuwezesha kitugani, silaha, fedha, llogistic au nini hasa?
  5. kuchochea,-Nani kachochewa na baada ya kuchochewa ametenda kitendo gani kilicholeta madhara?
  6. kushawishi,-Nani kashawishiwa na akakubali kufuata ushawishi huo?
  7. kushauri kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, kufungwa kwa Rais-Nani kashauri rais afe au kumdhuru kwa njia yoyote?
  8. kumwondolea Rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali,-Aliyemwondolea nani na kama kaondolewa heshima na ukuu wake kwanini unamtii nakufungua kesi ya uongo ya uhaini ndio itarejesha heshima na ukuu wake? Waziri wa habiri aliyepo sasa na wenzie walimwondolea heshima na ukuu JPM walishitakiwa kwa uhaini?
  9. kupindua serikiali iliyo madarakani,-Nani alitaka kupindua serikali kwa njia gani na lini?
  10. kutishia serikali, bunge au mahakama.-Mihimili hiyo mitatu imetishiwa na nani, lini, wapi, kwa jinsi gani na kwanini?
Bado PGO haijachambuliwa wa uzingatiaji wa taratibu sembuse maudhui ya UHAINI?

Nyerere alinusurika kupinduliwa mara tatu zinazofahamika kwa umma
1. 1964-Wana jeshi
2.1968/1969 (kesi ilianza 1970-1972)-Kinara akitajwa kuwa Oscar Kambona

3.1982 (kesi ilianza mwaka 1985)-Kinara akitajwa kuwa Mohamed Mussa Tamimu
Mwinyi naye alishanusurika kupinduliwa lakini haijawekwa wazi
 
Tufanyeni mijadala tufanyeni makongamano tufanyeni siasa lakini tuwe wajanja sio tushawishi Nchi hii iwe na Lawlessness.

Kila mtu ana kisasi fulani na mwenzake sasa bila polisi si tutamalizana
Sheria za kupendelea upande mmoja kisa una mamlaka hizo si sheria bali ni bias.
 
Sheria za kupendelea upande mmoja kisa una mamlaka hizo si sheria bali ni bias.
Sasa naona kuna ushauri mzuri tumepewa na Dr Slaa mwenyewe tuziachie mahakama zenye kutafsiri sheria na kutenda Haki
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…