Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kumbe hujui hilo; nitakuambia na wengine pia wajue.weka sababu kwanza iliyopelekea wawakae
Wenda nao walishazoea kuingiza magari yao free
Sasa wanaona DP kaja kawabania
Ndio wanamkataa.
Sababu kubwa ya Jibuti kuikataa DP World ilikuwa ni mktaba wa kutokuwa na mipaka kama huu wetu ambao uliifanya DP World ijenge bandari yake maalumu kwa ajili ya mizigo ya Ethiopia, jambo lililoikosesha serikali ya Jibuti mapato yatokanao na mizigo ya Ethiopia. Walivoenda mahakamani bado serikali ya Jibuti ilishindwa tena kutomja na mkataba huo huo mbovu kama huu wetu uliokuwa unaikataza serikali kuuvunja mktaba huo kwani haukuwa na mwisho.