Fahamu tofauti kati ya Eid ul-Fitr na Eid ul-Adha

Naomba kufahamu zaidi hapa
Kwenye Bible inasemekana Ismail aliondoka na mama yake Hajra akiwa mdogo sana baada ya kukosana na Sara mkewe Ibrahim, pia inamptaja Isaka kuwa ndiye aliyenusurika kuchinjwa kwa ajili ya sadaka, je ni yupi kati ya hawa wawili alitaka kuchinjwa Ismail au Isaka?
 
Isaka.
 
Lakini mahubiri mengi misikitini leo inamtaja Ismael
Unataka jibu sahihi? Fanya hivi mkuu:

Ichukue Kurwani uisome yote kuanzia Mwanzo hadi mwisho na Biblia ufanye vivyo hivyo. Ukimaliza, utakuwa umeshalipata jibu sahihi na hutahitaji tena jibu la mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…