Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Hapa duniani kuna kitu kinaitwa nature ambacho ndio kinaamua all fates and destinies. Ukiangalia katika science theories utagundua ya kwamba kila kitu kinajirudia na kwamba kila kitu kilifanyika in the past.
Hivyo kila kinachokutokea sasa ni kutokana na matendo yako ya nyuma. Ulishawahi kujiuliza ukifa roho inaenda wapi? Basi pale roho inapotoka huzunguka kutafuta matumbo ya mimba na kuingia huko ili yapate tena uhai. Ndio maana kuna watu wanakufa ila wanazaliwa wengine na mitazamo ile ile.
Ukielewa zaidi juu ya siri za dark matter utajua kwanini black holes zipo na ndipo kila kitu kinakuwa concentrated pale na uhai wote na vifo vyote. Hivyo kuna formula ya kutabiri kifo cha mtu kabisa kupitia black holes kwa kuangalia science law na relativity.
N.B : Kama kuna mtu anataka kujua anakufa lini acomment hapo chini nimpigie hesabu.