Fahamu ukweli wa yote yanayokutokea hapa Duniani

Fahamu ukweli wa yote yanayokutokea hapa Duniani

haya yote umeyajuaje mkuu ulishawahi ukahamia kwa mwingine anaezaliwa au ni assumptions tu
Ndio maana kuna kitu kinaitwa hypothesis. Umewahi kujiuliza roho inapouacha mwili huwa inaenda wapi?
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa hypothesis. Umewahi kujiuliza roho inapouacha mwili huwa inaenda wapi?
sasa mimi nitajuaje roho inapokwenda sijui hiyo ni siri na sidhani kama kuna binadamu anaijua
 
Hapo nyota mpya inazaliwa nayamkini ilishazaliwa ikafa na ikazaliwa tena.
Screenshot_20221106-113729.jpg
 
sasa mimi nitajuaje roho inapokwenda sijui hiyo ni siri na sidhani kama kuna binadamu anaijua
Roho ni assumptions za kiimani lakini kwenye science theories hakuna kitu kama hicho.
 
kama ni hypothesis sawa, bado haipo proved
Wewe unaishi maisha yako ya miaka mingi nyuma. Mfano ukienda miaka 10 ya umeme mbele utakuwa unaangalia maisha yako ya dunianiiaka kumi mbele na ukirudi utakuwa unaangalia maisha yako ya milele.
 
Unajua mkuu mleta mada kama unaingia kwenye akili angu na kutoka ,,,,,Binafis kuna vitu ua nakutana navyo katika maisha ya kawaida Ila vinakua kama vinajirudia ...yaan kama nliwahi kukutana navyo mahala ..ila kila nikikumbuka ni wapi na ni lini nakutana na kiza kizito ....japo nakua na feel kama niliwahi kuishi kabla
......... Je hali hyo inaweza kua na uhusiano na ulicho kiandika hapo?
 
Kama ni hivyo naomba unijuze mwisho wa hiyo roho ni upi?, na generation inaongezeka au inapungua? Na kama inaongezeka hizo roho nyingine zinatoka wapi?,
 
Unajua mkuu mleta mada kama unaingia kwenye akili angu na kutoka ,,,,,Binafis kuna vitu ua nakutana navyo katika maisha ya kawaida Ila vinakua kama vinajirudia ...yaan kama nliwahi kukutana navyo mahala ..ila kila nikikumbuka ni wapi na ni lini nakutana na kiza kizito ....japo nakua na feel kama niliwahi kuishi kabla
......... Je hali hyo inaweza kua na uhusiano na ulicho kiandika hapo?
Ndicho nachozungumzia kuhusu black holes na dark matter. Akili yako na roho ni vitu viwili tofauti. Hiyo lazima uelewe roho haitunzi kumbukumbuku ila akili inatunza. Hivo roho inapotoka huzunguka kutafta maisha tena na hapo inaakisiwa na dark energy ambayo ndio msukumo wa yote duniani. Hivo madhila yote unayoyatenda roho huyaakisi kwa miaka ya baadaye ambayo lazima uyalipe hivo matendo yako yataakisiki maisha yako ya badae na maisha yako ya sasa yanaakisi matendo yako ya nyuma.
 
Unajua mkuu mleta mada kama unaingia kwenye akili angu na kutoka ,,,,,Binafis kuna vitu ua nakutana navyo katika maisha ya kawaida Ila vinakua kama vinajirudia ...yaan kama nliwahi kukutana navyo mahala ..ila kila nikikumbuka ni wapi na ni lini nakutana na kiza kizito ....japo nakua na feel kama niliwahi kuishi kabla
......... Je hali hyo inaweza kua na uhusiano na ulicho kiandika hapo?
bado ni siri na itabaki kuwa siri mleta mada hawezi kujua
 
haya yote umeyajuaje mkuu ulishawahi kufa ukahamia kwa mwingine anaezaliwa au ni assumptions tu
No mleta uzi yuko sahihi, tangu utotoni, nina kumbumbu za ajabu ajabu sana, na picha hiyo huwa inajirudia na sijui kwa nini, mimi kwa sasa nimezaliwa kwenye uislam, lakini tangu nikiwa mtoto, huwa naona maono kwamba, nilikuwa napita katika njia iliyopo chini ya ardhi, nikiwa na watu wamevaa nguo kama za masista na mapadri, wakiwa wamewasha mishumaa mikubwa ya rangi mbali mbali, na huku wakiniimbia nyimbo nzuri kama za kunibembeleza hivi, lakini njia hiyo ilkuwa na kama kajoto na ni ndefu ila walinipa raha sana waimbaji wale, na pia nilikuwa naheshimiwa kama mfalme au mwana mfalme sasa kwa mtoa Mada aniambie nilikuwa wapi, nafanya nini na wale walionipa heshima Ile ni akina nani!!? Yaani sijui ndio napokubali kwamba niliwahi kuishi na nahisi nilikufa nikiwa mristo na nikazikwa kikristo na roho yangu ikaingia kwenye tumbo la mama mwenye Imani niliyonayo sasa, na sijui Ile tanuru ilkuwa ina kwenda mpaka wapi?? Nisaidieni
 
Huyu jamaa sijui kanywa nini badala ya chai leo asubuhi, maana hata ukitafuna dawa za minyoo alfajiri kabla ujala chochote hauwi hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom