Mambo yanayomhusu Mungu hayajawahi kuwa rahisi katika akili na fahamu hizi za mwanadamu.. nakuhakikishia mpaka unakufa hakuna utakachokijua kumhusu Mungu na mambo ya siri ya dunia aliyoiumba yeye ..zaidi ya kupapasa pasasa Biblia na Quaran ambazo nazo kwa uelewa wako mdogo hutamuelewa Mungu kupitia maandiko yaliyomo humo.. na zaidi sana utahangaika kutafuta vyanzo vya maarifa ya uongo uongo na wewe ukiamini ni kweli... Mwanadamu ameumbwa kuishi duniani hajaumbwa kuchokonoa chokonoa mambo ambayo hayamuhusu atakufaaa..