Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
- Thread starter
- #41
Kwanza lazima uelewe kuhusu kuzaliwa kwa nyota na kwanini tupo tunaishi duniani? Na kwanini nyama inaoza hata ukiiweka kwenye vacuum.Kama ni hivyo naomba unijuze mwisho wa hiyo roho ni upi?, na generation inaongezeka au inapungua? Na kama inaongezeka hizo roho nyingine zinatoka wapi?,
Roho haina mwisho ipo kuakisi ya jana ya leo na kesho. Mimba inapotungwa kiumbe kinachokuwa ndani je kina roho? Kinapozaliwa kwanini hakijitambui? Ukijiuliza hayo maswali utaelewa ukweli kuhusu maswali yako.