Fahamu ukweli wa yote yanayokutokea hapa Duniani

Kama ni hivyo naomba unijuze mwisho wa hiyo roho ni upi?, na generation inaongezeka au inapungua? Na kama inaongezeka hizo roho nyingine zinatoka wapi?,
Kwanza lazima uelewe kuhusu kuzaliwa kwa nyota na kwanini tupo tunaishi duniani? Na kwanini nyama inaoza hata ukiiweka kwenye vacuum.
Roho haina mwisho ipo kuakisi ya jana ya leo na kesho. Mimba inapotungwa kiumbe kinachokuwa ndani je kina roho? Kinapozaliwa kwanini hakijitambui? Ukijiuliza hayo maswali utaelewa ukweli kuhusu maswali yako.
 
Yeah! Hata mimi nilishawahi kukutana na hii hali tena zaidi ya mara moja, niliwahi fika sehem au kuona kitu ila akili inaniambia ulishawahi kufika au kukiona hicho kitu before lakini nikijaribu kuvuta kumbukumbu ilikuaje au nitukio gani lilifanyika katika hiyo sehemu au hadi kupelekea kukuona hicho kitu hua nabaki dilemma na kushindwa kupata jibu sahihi.
 
Ulichoandika hapa ni mambo ya kufikirika sawa na wale wasemao jua huzama matopeni
 
ulikuwa raisi wa marekani au prince wa mtoto wa mfalme huwezi jua mkuu, ila sasa hivi umezaliwa buza
 
Mkuu ata me hivyo na ni zaid ya mala moja ...dah haya maisha nifumbo kubwa ....ila tena me nilisha fanya research nkagundua sio wte hutokewa na hali hyo ..sas je hao wasio patwa na hali hyo nao wapo kundi gani?
 
Mambo yanayomhusu Mungu hayajawahi kuwa rahisi katika akili na fahamu hizi za mwanadamu.. nakuhakikishia mpaka unakufa hakuna utakachokijua kumhusu Mungu na mambo ya siri ya dunia aliyoiumba yeye ..zaidi ya kupapasa pasasa Biblia na Quaran ambazo nazo kwa uelewa wako mdogo hutamuelewa Mungu kupitia maandiko yaliyomo humo.. na zaidi sana utahangaika kutafuta vyanzo vya maarifa ya uongo uongo na wewe ukiamini ni kweli... Mwanadamu ameumbwa kuishi duniani hajaumbwa kuchokonoa chokonoa mambo ambayo hayamuhusu atakufaaa..
 
Je, unaweza kuniambia ni kwanini hatukumbuki our past life
Nadhani ni kwasababu akili huwa inatunza kumbukumbuku zote na akili tunaiacha ila roho ndio inabeba zile hisia zote na yale yote yanayoambatana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…