Fahamu ukweli wa yote yanayokutokea hapa Duniani

Elewa ya kuwa dunia ina miaka zaidi ya 2 billions mpaka hapa ilipo. Na elewa uhai ulikuwepo tangu kabla ya binaadamu sisi. Ndio hapo utakuja kugundua dunia yote ipo centered ndani ya nguvu moja.
 
haya yote umeyajuaje mkuu ulishawahi kufa ukahamia kwa mwingine anaezaliwa au ni assumptions tu

[emoji23][emoji23] mifano ipo lkn watu walio zaliwa mara mbili yaan dunian kila theory ina evidence
 
Alikwisha zaliwa tena na alikwisha lipwa madhila yake yote. Ndio maana dark matter ipo kuakisi mzunguko wa uhai hapa Duniani. Hivyo hata wewe ulishaishi hapa Duniani na ukifa utaendelea kuishi.
Ataenda kuishi Burundi
 
Kuakisi maisha ya nyuma unamanisha Nin?i kwamba tabia na mienendo iliyofanywa na roho niliyonayo Kwa mtu aliyekwisha kufa kabla ya hiyo roho kuniingia mm
Na inapoakisi maisha ya nyuma inahusisha matendo ya namna gani?
Na vipi kuhusu wale ambao wanapata kumbukumbu juu ya maisha Yao walioishi kabla na wakati umesema roho Haina kumbukumbu?
Na inachukua muda gani mpaka hiyo roho iweze kumwingia mwili mwingine?
Nijibu hayo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…