Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Sijakuelewa ,NYUFA(expansion joint.)
-una maana gani??
 
Sijakuelewa ,NYUFA(expansion joint.)
-una maana gani??
Nyufa ni Cracks kama kawaida, expansion joint ni uwazi unaowekwa wakati wa ujenzi kwa ajili ya kuzuia nyufa za kawaida au kuruhusu mtanuko na mbonyeo kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, pia kuzuia nyufa kutokana na mdidimio(settlement)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza pata level kwa kutumia mpira wa maji (water level method).mafundi wengi wanaharibu kazi zao kwa kutojua njiia hii rahisi.
 
Unaanza mdogomdogo, kuja kushituka nyumba imekamilika na umetumia mamilion. Lkn ukisema usubiri ushike mamilion ni ngumu kujenga .
upo sahihi mkuu ukisubili ma mil utakesha
 
Anahitaji kozi za ujenzi atakuwa vizuri zaidi.vitu kama leveling na kutumia theodolite (kwaajili ya setting )zitaongenza ujuzi wako sana .usiogope bei kuna mpaka used kwenye amazon na e-bay.but mtafute elimu zaidi utatisha sana
 
Unaweza pata level kwa kutumia mpira wa maji (water level method).mafundi wengi wanaharibu kazi zao kwa kutojua njiia hii rahisi.
Hii kitu naona mafundi wameshaachana nayo mda sana, niliona jamaa mmoja akifitisha geti ndio alikuwa anatumia sana kuweka level, na ni very precise!!!
 
Hii kitu naona mafundi wameshaachana nayo mda sana, niliona jamaa mmoja akifitisha geti ndio alikuwa anatumia sana kuweka level, na ni very precise!!!
Mkuu ukikosa darubini basi itabidi utumie pipe level. Huwezi Jenga nyumba bila kuilevel. Siamini kwamba kuna fundi anaeweza fanya upuuzi huo.
 
Anahitaji kozi za ujenzi atakuwa vizuri zaidi.vitu kama leveling na kutumia theodolite (kwaajili ya setting )zitaongenza ujuzi wako sana .usiogope bei kuna mpaka used kwenye amazon na e-bay.but mtafute elimu zaidi utatisha sana
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ si unajua elimu haina mwisho Mkuu. Ila darubini tunatumia sana.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ si unajua elimu haina mwisho Mkuu. Ila darubini tunatumia sana.
safi sana mafundi wengi hawataki kujiongeza,ukimwambia weka timanzi anakwambia timanzi ni kwa wanafunzi.but naona utafika mbali kwani watu wanawaepuka big contractors sabababu ya gharama,wewe ukiujua udhaifu huo utakimbia kazi.kila la kheri!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…