TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
...Shape unaipata kwa kufunga formworks/mbao za umbo unalotaka!! Kumbuka sipingi maelezo yako ya awali, nayaunga mkono.Sasa unapoeka nondo mbili inakua vigumu kuipata shape ya pembe 4 ya beam yako
Namaanisha tofali za kawaida lkn hata ukiwejibu kwa yote itakua bora kwakua yawezekana kuna wadau wanatumia hizo aina nyingine za matofaliHizo tofali ni interlocking...hollow blocks ama za kawaida 'plane for all sides'?
Umesahau kuwa kufanya leveling kunahitaji pesa pia. Steps Si kwamba kunapunguza idadi ya tofali kufanana na eneo tambalale, hapana.Unaweza kupunguza idadi ya tofali kwa njia tatu: 1. Unalevel eneo la kujenga nyumba kwanza ikiwa slope siyo kali sana 2. Unatumia msingi wenye steps. 3. unafanya steps levelling ya eneo la kujenga nyumba.
Naomba majibu ya swali languNamaanisha tofali za kawaida lkn hata ukiwejibu kwa yote itakua bora kwakua yawezekana kuna wadau wanatumia hizo aina nyingine za matofali
Sent using Jamii Forums mobile app
Statistics zinaonyesha Kwanzaa hapa bongo ulevi ndio Dili rejea uzi wa mshana na huu
Wapi huko mkuu?Huku kwetu tunachimba msingi ½futi thene tunapanga mawe kwa Udongo then tuna mwaga kazege 1" na ¼ na nyumba ni bomba tu. Huko mnakoweka manondo kama choo ni wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, elezea ujengaji wa msingi kwa kutumia steps. Maeneo mengi hasa yenye miinuko mafundi wanaweka steps kwenye foundation, hilo hufanya idadi ya matofali ipungue sana, maana kwa eneo kama Kimara hadi Mbezi, Malamba huko maeneo mengi ni ya miinuko.Umesahau kuwa kufanya leveling kunahitaji pesa pia. Steps Si kwamba kunapunguza idadi ya tofali kufanana na eneo tambalale, hapana.
Mkuu, elezea ujengaji wa msingi kwa kutumia steps. Maeneo mengi hasa yenye miinuko mafundi wanaweka steps kwenye foundation, hilo hufanya idadi ya matofali ipungue sana, maana kwa eneo kama Kimara hadi Mbezi, Malamba huko maeneo mengi ni ya miinuko.
1. Je, ujenzi wa steps kwenye miinuko una madhara gani katika uimara wa nyumba?
2. Wakati wa kumwaga ground beam, sijawahi kuona fundi akifanya kupima level ya beam, kwa maana ya upande mmoja kuwa sawa na mwingine, hii husababisha beam isiwe level na mwisho nyumba ikatitia kidogo lazima nyufa ndogondogo zitokee. Kwa nini hamfanyi kupima level ili kuwe na ulinganifu kwenye beam?
Hahahahaha, mambo ya moja baridiStatistics zinaonyesha Kwanzaa hapa bongo ulevi ndio Dili rejea uzi wa mshana na huu
Naomba kujua mchanga tani 4 unawezajengea tofali(5") ngapi za cement ukuta?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mupe mrukeHahahahaha, mambo ya moja baridi
Mkuu Stirrups ndio kitu gani hiko.?! Tudadavulie tujue mana may be tunapigwa sana na mafundi.afu unakuta wanalaza nondo labda mbili ndo zege inafuata bila hata kuweka stirrups sasa unauliza ya kaz gan eti inazuia nyufa,buree kabisaa
Usiogope, ni vitu Unavyo vijua. Unafahamu kitu kinaitwa rink/ring zinazotumika kusuka nondo.Mkuu Stirrups ndio kitu gani hiko.?! Tudadavulie tujue mana may be tunapigwa sana na mafundi.
Mkuu embu tusaidie hili kitaalam kabisa, kwanini nyumba ikishapigwa plaster, during curing process nyufa ndogo ndogo sana hutokea kwenye plaster?.inategemeana na udongo,mfinyanzi hapana maana maji yakikauka utalia kwa settlement na cracking
Yes mkuu ring nazifahamu sana.Usiogope, ni vitu Unavyo vijua. Unafahamu kitu kinaitwa rink/ring zinazotumika kusuka nondo.