Kuna kitu nmeona kinajadiliwa hapa kuhusu ground beam, wengi wanasema eneo lenye kichanga halihtji ground beam, lakini kama ukifanya soil investigation kawaida ya hali ya udongo huwa inabdlika kulingana na mda.. Pia udongo huwa ina tabia ya kujongea. Eneo unalojenga wewe inawezekana kukwa na mchanga lakini mita 10 toka ulipo kukwa na udongo wa aina nyingine,
Nini umuhimu wa ground beam..
Kazi kubwa ya ground beam n kuzuia un equally settlements (kutitia kwa nyumba kusikokua sawa) unapoeka mkanda au ground beam unafanya nyumba yako ititie kwa pamoja hvo kuzuia nyufa zisitokee kwenye nyumba..
Ushauri wangu ni muhimu kueka ground beam regardless ya aina udongo sababu tabia ya udongo huwa haitabadiliki...
Sent using
Jamii Forums mobile app