Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Mleta mada nakupongeza kwa kuipenda kazi yako. Ila nakuomba pia uwe unatumia ushauri wa wataalamu wa ujenzi. Namaanisha uchote maarifa kwa Architects, Engineer na Quantity Surveyor. Mie nimesoma ujenzi na nimepitia maelezo yako naona kama hayajajitosheleza pengine ni kutokana na ufahamu wa kitaalamu. Kwa mfano, nyumba sio lazima iwe na ground beam, kuna sababu hupelekea iwepo au isiwepo.kwa hiyo wakati mwingine mnaongezea gharama za ujenzi zisizokuwa za lazima kwa kigezo/kauli mbiu ya nyumba imara

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetufafanulia zaidi ingependeza zaidi mtaalam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaah n kwel kabisa, hapo kwenye kumwaga zege chini wakat wa kuanza msingi huwa mafund wengi wamekariri tu ila ukwel ni,kuwa kutanguliza mchanga angalau inch 3 hv ni bora zaid kulko hyo zege..
Mafund wanaongezaga garama tu il wanufaike, ila profeessionally hamna mantik yoyote
Kwa maelezo yako hakuna haja ya kumwaga zege kabla ya kuanza kujenga msingi ikiwa umetanguliza kumwaga mchanga nchi 3?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss jaribu kufanya utafiti kidogo, hizo nyumba zenye chimney mara nyingi huwa wanatumia kuni as a source of energy, sasa kwa nyumba zetu hizi nani anatumia kuni ndani!?, nafikiri zile kitchen ventilation za umeme ndio zinatufaa zaidi ya traditional chimneys.
Vipi kuhusu gharama za umeme?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu nmeona kinajadiliwa hapa kuhusu ground beam, wengi wanasema eneo lenye kichanga halihtji ground beam, lakini kama ukifanya soil investigation kawaida ya hali ya udongo huwa inabdlika kulingana na mda.. Pia udongo huwa ina tabia ya kujongea. Eneo unalojenga wewe inawezekana kukwa na mchanga lakini mita 10 toka ulipo kukwa na udongo wa aina nyingine,
Nini umuhimu wa ground beam..
Kazi kubwa ya ground beam n kuzuia un equally settlements (kutitia kwa nyumba kusikokua sawa) unapoeka mkanda au ground beam unafanya nyumba yako ititie kwa pamoja hvo kuzuia nyufa zisitokee kwenye nyumba..


Ushauri wangu ni muhimu kueka ground beam regardless ya aina udongo sababu tabia ya udongo huwa haitabadiliki...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ground beam ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Overhang ya bati ni nini na inatakiwa iweje kivipimo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bati inayotekeza nje ya ukuta
15493451002211269370699.jpg
 
Naomba kujua:-

1. mfuko mmoja cement ya kawaida unawezajengea tofali ngapi kupandisha boma kwa kutumia tofali za block za nchi 5?

2.Naomba pia kujua mfuko mmoja cement ya kawaida unawezajengea tofali ngapi za msingi za block za nchi 6?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maximum ni tofali 70 za kusimama.
Msingi maximum ni tofali 40. Jambo la mhimu ni kuzibgatia consistency ya mota
 
Back
Top Bottom