Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu ataziondoa zoteSheria za hovyo kabisa
Tumuunge mkonoLisu ataziondoa zote
Is it possible, mbwa kumng'ata mwenye mbwa?jee wakiyagundua wasimame kidete aenguliwe kama sheria itakavyo
Umma upi wewe au unaangalia walionyuma ya keyboard?Hana haja ya mapingamizi huyu anaondoka kwa nguvu ya umma...mark my words
Hacha uongojana Tume ilikuwa inataka Lissu akubaliane na mambo ya kimazoeamazoea kwenye kurudisha fomu kinyume cha sheria akagoma akataka sheria za uchaguzi zifuatwe kipengele kwa kipengele, ndiyo maana ilichukua muda mrefu kumhudumia!
Nahisi tume walinusa kuwa kama huyu Mnyampaa kakomalia ishu fulani ambayo Jiwe hajatimiza itakuwa pasua kichwa kwa hiyo wakataka akubali kirahisirahisi ili wakosee wote.
Sasa Jiwe ajiandae kwenda tume kujibu pingamizi!
Kama walivyo wafanyia wananchi kule Ruangwa?Aliwe kichwa asiingie hata kwenye sanduku la kura
CCM ni tahasisi siyo Kama chadema sacoss!Kwa nafasi yake na kwa kujiamini kwake, yuko katika hatari ya kufanya makosa kuliko wagombea wengine wote kwani anaweza kuchukulia mambo kirahisi tu akiamini hakuna wa kumfanya kitu akasahau this time tuna mpinzani wa kweli na makini.
Lissu akipitia mchakato wake,sidhani kama hatokuta makosa na kibaya wanaopaswa kumwambia umekosea hapa na pale wanaweza wasimwambie kwa kumuogopa au kwa kuamini hakuna wa kumfanya kitu.
Hata wale wagombea wengine nao kwa kujua hawana nafasi bali wanasindikiza tu,wanaweza pia wasiwe makini sana katika mchakato mzima na hivyo na wao kujikuta wamefana makosa.
Bahati mbaya hakuna haki ya kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya Tume.
Tusubiri.