PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Vuta subraUmma upi wewe au unaangalia walionyuma ya keyboard?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vuta subraUmma upi wewe au unaangalia walionyuma ya keyboard?
Binafsi naungana na wewe kwa kiasi kikubwa kwa haya mambo mengine hayana maana sana na ni kama urasimu tu wenye malengo fulani, ila kwakuwa yaliwekwa bila kutafakari kwa makini, safari hii yanaweza kuwageukia wao wenyewe na hapa tunaweza kupata somo fulani.Kwangu Mimi sioni mantiki ya kitu kinachoitwa Mapingamizi, nashauri kwenye sheria zetu tuanze kufikiria kukifuta, hakina maana yoyote kabisa, ni kupoteza muda tu.
Hata suala la kutafuta Wadhamini halina maana yoyote kwangu mimi nashauri tufikirie kufuta hili swala
Vile vile, tuweke block kwenye sheria mtu asipite bila kupingwa, maana naona wagombea wa CCM wanaongea na wasimamizi, polisi na Takukuru ili kutengeneza mazingira ya kupita bila kupingwa
Huko kwenye mambo ya kihuni huni !! Unahesabu ushindi..be serious!!Cha ajabu sioni chama cha kungoa CCM, kama tu mpaka sasa hv zaidi ya majimbo kumi ya yamechukuliwa mnategemea nn?
Upinzani ukajipange upya, washazidiwa tayari!
Usikariri na usidharau hatari hata isiyoonekana.Umma upi wewe au unaangalia walionyuma ya keyboard?
Tatizo lako nilishaliona liona siku nyingi, mihemko ya jamaa ndio huwa unaona dira kwako.Kwa nafasi yake na kwa kujiamini kwake, yuko katika hatari ya kufanya makosa kuliko wagombea wengine wote kwani anaweza kuchukulia mambo kirahisi tu akiamini hakuna wa kumfanya kitu akasahau this time tuna mpinzani wa kweli na makini.
Lissu akipitia mchakato wake,sidhani kama hatokuta makosa na kibaya wanaopaswa kumwambia umekosea hapa na pale wanaweza wasimwambie kwa kumuogopa au kwa kuamini hakuna wa kumfanya kitu.
Hata wale wagombea wengine nao kwa kujua hawana nafasi bali wanasindikiza tu,wanaweza pia wasiwe makini sana katika mchakato mzima na hivyo na wao kujikuta wamefana makosa.
Bahati mbaya hakuna haki ya kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya Tume.
Tusubiri.
Yes. Kwani yeye nani buana!Kama walivyo wafanyia wananchi kule Ruangwa?
Kelele za maji hazimtishi tembo kunywa vyuraUsikariri na usidharau hatari hata isiyoonekana.
kavuruga sana nchi huyu babuHana haja ya mapingamizi huyu anaondoka kwa nguvu ya umma...mark my words
We jitekenye tu.Hana haja ya mapingamizi huyu anaondoka kwa nguvu ya umma...mark my words
AbsolutelyHuyu mwacheni ang'olewe na na wananchi
jana Tume ilikuwa inataka Lissu akubaliane na mambo ya kimazoeamazoea kwenye kurudisha fomu kinyume cha sheria akagoma akataka sheria za uchaguzi zifuatwe kipengele kwa kipengele, ndiyo maana ilichukua muda mrefu kumhudumia!
Nahisi tume walinusa kuwa kama huyu Mnyampaa kakomalia ishu fulani ambayo Jiwe hajatimiza itakuwa pasua kichwa kwa hiyo wakataka akubali kirahisirahisi ili wakosee wote.
Sasa Jiwe ajiandae kwenda tume kujibu pingamizi!
Tatizo Ni kwamba kila mwaka wa uchaguzi, kauli Kama hizi tunazisikia Sana, na baadae hatuoni mkuyafanya.Hivyo sisi tunawaona Kama wapambanaji nyuma ya keyboard tu.Usikariri na usidharau hatari hata isiyoonekana.
Mlaze njaa siku mbili ya tatu kamfungulie bandani utapata majibu.Is it possible, mbwa kumng'ata mwenye mbwa?