Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

Cha ajabu sioni chama cha kungoa CCM, kama tu mpaka sasa hv zaidi ya majimbo kumi ya yamechukuliwa mnategemea nn?

Upinzani ukajipange upya, washazidiwa tayari!
 
Saddam Hussein wa Libya lazima achapie kama si kuboronga

kama Gadhafi ni wa Kuwait,basi tarajia MTU kuandika anatafuta 'kula' za 'ulaisi' kwa tiketi ya CHAUMA
 
JF kuna vituko! Nyinyi mnaosema kila siku kuwa tume kachagua yeye,polisi wake na dola yote yake ndio imuite akajibu pingamizi?!
 
Kuna vitu haviwezekani. Ni fantasy tu watu hujenga vichwani
 
Tumwache tu, ushindi wa mezani hauna radha!!
 
Binafsi naungana na wewe kwa kiasi kikubwa kwa haya mambo mengine hayana maana sana na ni kama urasimu tu wenye malengo fulani, ila kwakuwa yaliwekwa bila kutafakari kwa makini, safari hii yanaweza kuwageukia wao wenyewe na hapa tunaweza kupata somo fulani.
 
Cha ajabu sioni chama cha kungoa CCM, kama tu mpaka sasa hv zaidi ya majimbo kumi ya yamechukuliwa mnategemea nn?

Upinzani ukajipange upya, washazidiwa tayari!
Huko kwenye mambo ya kihuni huni !! Unahesabu ushindi..be serious!!
 
Tatizo lako nilishaliona liona siku nyingi, mihemko ya jamaa ndio huwa unaona dira kwako.
 
Acha kudanganya. Kama ilikua hivyo kwanini alilalamika kukalishwa muda mrefu pale. Pitia tweets zake za jana kabla ya kukurupuka kutaka sifa JF
 
Litaondolewa tu kwa namna yoyote....

Lissu Rais wetu mtarajiwa
 
Usikariri na usidharau hatari hata isiyoonekana.
Tatizo Ni kwamba kila mwaka wa uchaguzi, kauli Kama hizi tunazisikia Sana, na baadae hatuoni mkuyafanya.Hivyo sisi tunawaona Kama wapambanaji nyuma ya keyboard tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…