Hiyo inawezekana anaikaushaje kwa makusudi?Tujitahidi kutumia mipira tu,wanaeneza maksudi anajua anao anakubali kirahisi sana na hakwambii uvae mpira, na akishajua hutavaa mpira anaikausha kwelikweli ili upate michubuko
Hadi condom ikipasuka husikii?
Bora mwanaume avae condom sita sasa hakuna namna
Mhhhh!!!!Ikitokea umejichoma na kitu chenye ncha kali ambacho kina damu ya mwenye HIV, unapewa hiyo dawa kabla ya masaa 72 ili kuzuia maambukizi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hiyo inawezekana anaikaushaje kwa makusudi?
Watampa akajieleze vizuri, vinginevyo watamwambia awe na amani hajapata maambukizihv ni kweli ukiwaambia kuwa ulipga peku hawakupi dawa maana kuna best yangu alipga peku juz ucku then asubuhi kuna watu wawili wakamwambia demu kaungua hvyo yupo hospital kutafuta hzo dawa
Condom sita kuna haja ya kunanii na mwanamke tena? condom sita zinatoshaHadi condom ikipasuka husikii?
Bora mwanaume avae condom sita sasa hakuna namna
Mpende sana kwakuwa naye anakupenda, walio wengi hovyo kabisaAcha tu, maana tayari tulikuwa 6x6 ila yule mdada akawa mgumu kusaua nguo zake, nlpomuuliza kwanini ghafla alibadilika na kuwa na sura ya huruma huku machozi yakimlenga... Akanambia ameathirika, hivyo hatakiwi kufanya mara kwa mara... Daaah nilitamani kuzima palepale
Kuzuia UKIMWINi dozi ya nn hii?
Yah ukimwi unataka moyoBabu yangu anavuta sigara yangu akiwa 17 yrs,saizi ana 80 yrs,ukimwi unaujua/ unausikia??? Stress za ukimwi unazijua???? Sigara there some techniques ukafanya ili zisikuletee madhara
Mimi hata sina cha kumpa Mungu, kaninusuru kwa watatu ambao nina uhakika, sijui wengine ambao sikuwahi kupima naoMimi nilimfuma mmoja yaani nilinusurika mpaka Leo najiona mwenye bahati kuliko ya biko.sitoacha kumshukuru MUngu yaani .
Ni lazima upimwe hakuna mjadalaSiku hizi wanakupima kwanza,wasije wakakupa dawa kumbe ulishapata ukimwi miaka 2 iliyopita
Sio changu ni Malaya tu wa mtaaniHahaa!!!!! Vipi ilikuwaje tupe story kidogo, samahani lakini!!!
Si aende ANGAZA akawaambie kakutana na majanga, watampa
TayariiNjoo PM
Lkn mbona wenyewe wanasema kuwa wako normal tuu, kufata masharti tuYah ukimwi unataka moyo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sio kuwa na ngoma, ila yeye alionekana na ngoma,baada ya kwenda kupima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hofu hiyoTulipima mwezi wa 8 mwaka jana, wote wawili negative, mwezi wa tisa nikawa nimesafiri nikarudi mwezi wa 12 ,kwakuwa tulishapima miezi minne iliyopita sikuwa na shaka yoyote 30-31/12 tukacheza game kavu, kilichonistua sana mpaka nikamshawishi tukapime tena ni baada ya kuona jibu makalioni.