Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP


Kama huyu jamaa aliyejiprick na sindano alipimwa alikuwa negative, ndipo akaanza kutumia PEP kama kizuizi cha kusambaa na kuongezeka kwa kimelea wa UKIMWI basi yule aliyesex naye atakuwa safe au nafasi ndogo sana kupata maambukizi.

Wewe uliye kwenye PEP endelea dose yako mpaka siku 30 zitimie. Na baada ya hapo hakikisha unapima tena kuangalia kama PEP yako imefanikisha kufubaza kimelea cha HIV. Yule anayepaswa kuwa hofu sana ni yule uliyesex naye bila kinga,ikiwa tu wewe ulikuwa mgonjwa kabla ya kujichoma sindano.

Kama ile sindano ilikuwa na vimelea na ulianza PEP ndani ya masaa 72 na UKAWA UNATUMIA SAWA SAWA NA MASHARTI YAKE, viral load itakuwa chini sana kiasi kwamba uwezekano wa kumuabukiza mwingine ni mdogo mnooo. Ondoa shaka, hakikisha tu unatumia kinga unapofanya ngono na upime tena baada ya zile siku thelathini ili kujua kama dawa imefanya kazi au imeshindwa.

Pole na asubuhi njema kwako
 
Vp kiongoz nitafute nikupe details
 
Duu hatari sana
 
Hii PEP ni kitu gan mkuu
 
Laana ya Mke hiyo inaitwa. Ungelivagaa sijui ungemwambiaje mkeo
 
nimesoma mara 2-2 ulicho andika, ni vile hauna ama ujapitia mapito hatarishi hili dude linatish balaa kwa mawazo tu huwezi maliza mwaka.
 
Alizingatia taratibu zote,mda na matumizi ya dawa kwa usahihi over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimesoma mara 2-2 ulicho andika, ni vile hauna ama ujapitia mapito hatarishi hili dude linatish balaa kwa mawazo tu huwezi maliza mwaka.
Babu ww ushatumia hiyo pep
 
Kwahyo swala la kupata mtoto limeishia wapi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unajuwa unaweza ukawa hujaandikiwa kupata mtoto Bas kufoc foc nako n kubaya! Its better to stay calm! Nitafanya mpango wa kuwa natembelea vituo vya Watoto yatima ili kumaliza kiu yangu ya Watoto, ila siyo kuzaa nje tena

Acha uoga... tafuta dem pima nae kwanza, ndio muanze harakati za kutafuta mtoto..

Ww ni champion hutakiwi ku loose fight


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
USIKATE TAMAA YA KUPATA MTOTO KWA MKEO,JARIBU KUMTAFUTA POPOTE ALIPO DR MMOJA NADHANI JINA NI PROF:MAJINGE, sina hakika kama jina nimelipatia vizuri....naamini tatizo lako atalimudu vizuri tu.
 
Ukiwa unatumia hzo PEP ukaanza kukohoa kidogo unajihisi kama mambo tayari dah achanaga na mambo ya ngono isiyo salama kabisa sio poa wadau
 
Hicho kichefu chefu kitaendelea si mnajifai mabingwa wa kudanga kila binti mzuri mnataka kuzama pm

Sent using i phone x
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…