3#kikawaida mtu anae pewa pep ni watu wa afya ambao wamekua exposed kwa wagonjwa ambaoni confimed hiv mfano nurse anamhudumia hiv pt then sindano aliyomchoma pt akajichoma yeye pia ndo hapo anatakiwa atumie pepni ngumu kumeza ..tunaloweka.....mmedinyana jana hujui ka mwenzio anao...unakimbilia kupewa dawa ndani ya saa 72????
1. Unapima siku ya kwanza .....hakuna viashiria
2. Unarudi baada ya mwezi/miezi3 ...kuthibitisha
nahisi mnanichanganya kwa kusema masaa 72, vinginevyo uwe unatambua wazi umefanya na mwathirika
Duu! This is interesting. Hebu nipe mwangaza zaidi ili nijue wapi nianzie kupata huo uelewa mpya kuhusu hili jambo
Okay. Nitafuatilia mpaka nitapata kilichoelezwa kwenye hizo theoriesFuatilia post zangu kwenye uzi huu: https://www.jamiiforums.com/jf-doct...wenye-ukimwi-tena-peku-na-asipate-ukimwi.html
Pia ukiwa na muda fuatilia documentaries zifuatazo kwenye youtube huku ukiwa na open mind;
1.10 scientific arguments why HIV can NOT cause AIDS (dr. Duesberg)
2.Positively False - Birth of a Heresy - HIV AIDS
3.Prof. Luc Montagnier's Extended House of Numbers Interview (1)
4.The Other Side of AIDS
5.Why HIV was never discovered.
6.AIDS TRUTH 2013 Gary Null Exposes The Truth About The HIV=AIDS Lies
7.HIV = AIDS - Fact Or Fraud
8.Peter Duesberg - The Invention of AIDS
9.The Great AIDS Hoax! House of Numbers Movie
10.The HIVAIDS Hoax Explained - Dr. Robert Willner
11.Why I Quit Hiv with Kary Mullis - Rodney Richards - more HoN
Pia kuna scientific papers nyingi sana kuthibitisha hayo utakayoyaona kwenye hizo documentaries.Zaidi ya yote kinachotokea mitaani na kwenye vituo vya afya katika maisha yetu ya kila siku kina akisi moja kwa moja ukweli huo wa kwenye hizo scientific papers na hizo documentaries.
Kazi kwako sasa.
Siwezi kupoteza muda wangu ku-debate na watu wanaoongea bila ushahidi wa kisayansa. Masuala ya tiba hayafanywi kwa hisia wala mahaba. Yanafanyika baada ya tafiti zinazotoa ushahidi wa kuridhisha.
1. ARVs zinapunguza VVU na maambukizi.... huu ni ukweli usiopingikwa kwa nadharia na theolojia
Naomba unitofautishie kati ya nadharia na theorojia
Unakuwa Unajihisi kufakufa..another swali plz
Siwezi kupoteza muda wangu ku-debate na watu wanaoongea bila ushahidi wa kisayansa. Masuala ya tiba hayafanywi kwa hisia wala mahaba. Yanafanyika baada ya tafiti zinazotoa ushahidi wa kuridhisha.
1. ARVs zinapunguza VVU na maambukizi.... huu ni ukweli usiopingikwa kwa nadharia na theolojia
Naomba unitofautishie kati ya nadharia na theolojia
Nadharia ni theory au taarifa zisizo na back up ya practical wakati theolojia nilimaanisha theology ambayo ni elimu ya mambo ya dini.
Nadharia ni theory au taarifa zisizo na back up ya practical wakati theolojia nilimaanisha theology ambayo ni elimu ya mambo ya dini.
naomba unielezee elimu ya dini gani inayosema ARV's zinapunguza VVU na maambukizi mkuu
Hebu acha utani wewe.
Kuna mahali popote nimeongea kitu kama hicho?
si umesema ARV'S zinapunguza vvu na ukasema huu ni ukweli usiopingika kwa nadharia na theolojia na ukasema theolojia ni elimu ya mambo ya dini au mpka nikuquote?
Nakushauri ujifunze kusoma kwanza!