Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Ulivyoanza tu kwa kusema 'ukimwi upo',tayari nimekuweka kwenye kundi la wasioelewa wanajadili kitu gani...kwani wapi nimesema hakuna ukimwi?

Kuna watu unatakiwa kuwa makini sana kama unajadiliana nao,mimi ni mmojawapo.Hivyo kuwa makini....onesha sehemu ambayo mimi nimesema hakuna ukimwi.
Acha kupotosha watu mkuu HIV virus ipo na ndo anasababisha AIDs ingekuwa hakuna watu wa afya wasingekuwa wanapewa PEP Hiv unajua hata Mechanism ya HIV virus anavyoingia?usiwapotoshe watu kwa kutaka likes sio poa kama HIV haipo kwann Mfanyakazi wa afya akimwagikiwa na damu anapewa dawa coz nimeshuhudia watu waliokuwa exposed wakikataa kunywa dawa kisa zinawatesa wakawa positive na wengine wakawa negative kwa kufatisha dozi,la kwanza inabd ujue how does it work Arvs zinafanya kazi kutokana na hatua mfano mtu ambaye amekuwa exposed anapewa pep ambayo ni first line inablock penetration ya hiv,ambaye yupo kwenye dose anatumia kutokana na viral load yani kiwango cha virus alichonacho ndo maana siku hizi cd4 haitiliwi mkazo sababu cd4 ni kinga ya mwili ukimpa mtu dose kwa kufata cd4 inakuwa ngumu sababu mwingine cd4 zake chache yani kinga yake ya mwili ndo ilivyo tu lakini ukiangalia wingi wa virus inakuwa rahis kumcontrol
Second hujawahi kusikia mtu anaishi na ukimwi na mke/mme ila mwenza hana?
 
Ulivyoanza tu kwa kusema 'ukimwi upo',tayari nimekuweka kwenye kundi la wasioelewa wanajadili kitu gani...kwani wapi nimesema hakuna ukimwi?

Kuna watu unatakiwa kuwa makini sana kama unajadiliana nao,mimi ni mmojawapo.Hivyo kuwa makini....onesha sehemu ambayo mimi nimesema hakuna ukimwi.

Hivyo una mshauri nini muhanga wa hizi dawa? Ikiwa mtu kashazitumia hizi dawa kwa miaka 5 afanye nn kujinusuru na madhara hayo??? Je aache kuendelea kumeza?
 
Siku utayoacha viral load zitatoka elfu 1000 mpaka milion 10 organ zinafel zote,
 
ARV aina ya sustiva,ambayo ndani yake kuna Efavirenz,kule Afrika ya kusini mateja wanafanya deal na wahudumu wa afya na wanazipata....wakishazipata wanazichoma,wanazisaga na kuzitumia kama dawa za kulevya...na wanapata ladha/effect ileile kama cocaine au heroin.

Swali 1:
Je,mnajua kwanini watumiaji wa ARVs wakiacha GHAFLA(bila kufuata utaratibu) kutumia vidonge hivyo wanaugua sana na hata kufa?....msiseme viral load itaongezeka,la hasha....

Jibu:
Ni kwasababu ya addiction anayoipata baada ya kuzitumia ARVs kwa muda mrefu.

NB;
Nadhani sasa mnaweza kuunganisha nukta kwa kwanini pia wale watumiaji wa madawa ya kulevya huwa wana clinics zao,zinaitwa METHADONE clinics ambazo wanakwenda kuhudhuria kule ili waweze kuacha kutumia dawa hizo bila kupata matatizo(yaani bila kuugua au kufa).

Maana watumiaji wa dawa za kulevya nao wakiacha GHAFLA kutumia dawa hizo wanaugua sana na hata kufa.

Swali 2:
Je,mnajua kwanini ARVs zimetangenezwa hivyo(yaani ziwe addictive)?

Jibu:
Wamezitengeneza hivyo ili mtu awe teja,yaani asiweze kuziacha,maana akiziacha ghafla ataugua sana na hata kufa.Sasa akifa atasaidia kuwapa maksi(credit) wenye mradi huu,maana jamii inayomzunguka mtu huyu itaamini kwamba HIV/AIDS kweli ipo na inaua,maana wamemwona mtu kaacha kutumia ARV halafu akafa,hivyo wataamini kwamba HIV wameongezeka(viral load) na ndio maana akafa.

Kamwe watu kutokana na UJINGA tu,hawataweza kufikiria kuhusu ADDICTION ya ARVs.

Aksanteni sana...

Nitumieni kabla sijafa,kwa maana ipo siku mtakuja kujuta pale mtakapohitaji msaada halafu watu kama mimi huwaoni.
 
Sasa kipi kinafanyike? Mtu huyu inampasa aende hiyo clinic ama aziache vipi? Kuna dawa yoyote ya kuweza ku neutralize
 
Mjitahidi kujifunza jinsi ya kujadili kwa hoja...wenzetu wazungu wametuacha mbali sana kimaendeleo kwasababu wanafanya mambo kwa kutumia mantiki,wakiona/kusikia jambo jipya huwa hawapingi tu hovyo,kwanza wanafuatilia,kisha wakishaelewa ndio wanaanza kujadili,tena wanajadili si kwa lengo la kupinga,bali kwa lengo la kuelewa...sisi hatuko hivyo.
Umenena vyema sana,be blessed mkuu
 
ARV aina ya sustiva,ambayo ndani yake kuna Efavirenz,kule Afrika ya kusini mateja wanafanya deal na wahudumu wa afya na wanazipata....wakishazipata wanazichoma,wanazisaga na kuzitumia kama dawa za kulevya...na wanapata ladha/effect ileile kama cocaine au heroin.

Swali 1:
Je,mnajua kwanini watumiaji wa ARVs wakiacha GHAFLA(bila kufuata utaratibu) kutumia vidonge hivyo wanaugua sana na hata kufa?....msiseme viral load itaongezeka,la hasha....

Jibu:
Ni kwasababu ya addiction anayoipata baada ya kuzitumia ARVs kwa muda mrefu.

NB;
Nadhani sasa mnaweza kuunganisha nukta kwa kwanini pia wale watumiaji wa madawa ya kulevya huwa wana clinics zao,zinaitwa METHADONE clinics ambazo wanakwenda kuhudhuria kule ili waweze kuacha kutumia dawa hizo bila kupata matatizo(yaani bila kuugua au kufa).

Maana watumiaji wa dawa za kulevya nao wakiacha GHAFLA kutumia dawa hizo wanaugua sana na hata kufa.

Swali 2:
Je,mnajua kwanini ARVs zimetangenezwa hivyo(yaani ziwe addictive)?

Jibu:
Wamezitengeneza hivyo ili mtu awe teja,yaani asiweze kuziacha,maana akiziacha ghafla ataugua sana na hata kufa.Sasa akifa atasaidia kuwapa maksi(credit) wenye mradi huu,maana jamii inayomzunguka mtu huyu itaamini kwamba HIV/AIDS kweli ipo na inaua,maana wamemwona mtu kaacha kutumia ARV halafu akafa,hivyo wataamini kwamba HIV wameongezeka(viral load) na ndio maana akafa.

Kamwe watu kutokana na UJINGA tu,hawataweza kufikiria kuhusu ADDICTION ya ARVs.

Aksanteni sana...

Nitumieni kabla sijafa,kwa maana ipo siku mtakuja kujuta pale mtakapohitaji msaada halafu watu kama mimi huwaoni.
So intriguing kwa kweli
 
I got you, deception mara ya mwisho condom ulitumia lini??
 
Leo nataka kushare kitu na kuuliza pia, tarehe 4 mwezi huu nilifanya Mapenzi na msichana ambae nilimjua kwa masaa 48 kabla ya kusex nae hii ilinitokea ni baada ya kukaa mda mrefu bila kufanya Mapenzi maana nina mwanamke mzungu na nilikua naongopa kuchepuka kwa sababu mwanamke wangu yupo nje ya nchi Ana Mapenzi na tulikua tumepanga kufunga ndoa tarehe 28 ya mwez huu, niseme kama ajari tu ni baada ya kukaa miezi 8 bila kufanya Mapenzi nikakutana na uyu demu mitaa ninayoishi na ni kafanya nae Mapenzi na kinga ila mzunguko wa kwanza, mzunguko wa pili nikavaa tena kinga bahati mbaya kinga ikapasuka mbele nadhan ni kutokana na ukavu na ulaini kidogo, ilipopasuka tu nikajua nikatoka fasta nikaenda kuvua ile condom kwa kutumia karatasi Inshort siku ishika nikavaa nyingine nikamalizia, lakin baada ya yule dada kuondoka nikajawa na hofu kubwa sijui kwann na nikaanza kumuuliza kama alishawai kupima a kasema ndio na hana na Ana utaratibu wa kupima kila mwezi,

kiukweli sijui kwann ila nilikua na hofu bado ikanibidi niende mtaa anayoishi kama lisaa limoja baadae ili kujua zaidi kuhusu yule demu maana nilijiuliza kama ndani masaa 48 kafanya Mapenzi na mm na sikumtongoza je ni wangap ambao alifanya nao kwa style kama yangu, bhass katika kuuliza mtu ambae na mfahamu na yy ananifaham akanimbia ndugu yangu sikushauri kwa uyo demu maana naskia Ana moto nikaanza kuchanganyikiwa na kuanza kumtafuta ili tu kapime maana yy alisema hana bhass mara akawa hapokei na anakata simu na akazima simu kwa mda, daaah ikanibidi niende kituo cha afya karibu na jirani nikawaeleza bahati nzuri icho kituo wananijua vizur maana mama yangu anafanya nao kazi pamoja ila kitengo tofauti, wakanipima ukimwi wakanikuta sina na kunipa dawa aina ya pep na ya kwanza wa kaniambia kunywa hapa hapa ,

haya yote ninayo kwambia ni ilikua ni ndani ya masaa matatu tu tangu nikutane nae na Leo ni siku ya kumi tangu nianze kutumia pep je kuna namna yyte ambayo naweza nikawa na maambukizi baada ya kumaliza hizi dawa maana yule demu kesho yake nilimtafuta na nikampima maana nilikua na vifaa nikamkuta kweli mistari miwili kwenye C na 1 ila wa kwenye moja ni unaonekana kwa mbaaali si rahisi mtu kuona kama hujatulia vizuri.. Nilikua nataka kujua kutoka kwa wataalamu humu asanteni
 
Back
Top Bottom