dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Aisée, hii nchi bwana sijui kwanini wanafanya hivo
Vinapatikana hospital tu,tena kwa process maalum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinapatikana hospital tu,tena kwa process maalum
Acha kupotosha watu mkuu HIV virus ipo na ndo anasababisha AIDs ingekuwa hakuna watu wa afya wasingekuwa wanapewa PEP Hiv unajua hata Mechanism ya HIV virus anavyoingia?usiwapotoshe watu kwa kutaka likes sio poa kama HIV haipo kwann Mfanyakazi wa afya akimwagikiwa na damu anapewa dawa coz nimeshuhudia watu waliokuwa exposed wakikataa kunywa dawa kisa zinawatesa wakawa positive na wengine wakawa negative kwa kufatisha dozi,la kwanza inabd ujue how does it work Arvs zinafanya kazi kutokana na hatua mfano mtu ambaye amekuwa exposed anapewa pep ambayo ni first line inablock penetration ya hiv,ambaye yupo kwenye dose anatumia kutokana na viral load yani kiwango cha virus alichonacho ndo maana siku hizi cd4 haitiliwi mkazo sababu cd4 ni kinga ya mwili ukimpa mtu dose kwa kufata cd4 inakuwa ngumu sababu mwingine cd4 zake chache yani kinga yake ya mwili ndo ilivyo tu lakini ukiangalia wingi wa virus inakuwa rahis kumcontrolUlivyoanza tu kwa kusema 'ukimwi upo',tayari nimekuweka kwenye kundi la wasioelewa wanajadili kitu gani...kwani wapi nimesema hakuna ukimwi?
Kuna watu unatakiwa kuwa makini sana kama unajadiliana nao,mimi ni mmojawapo.Hivyo kuwa makini....onesha sehemu ambayo mimi nimesema hakuna ukimwi.
NENDA KAFANYE MINGONO ZEMBE THEN UTAJUWA HIV IS REAL OR NOT!
Ulivyoanza tu kwa kusema 'ukimwi upo',tayari nimekuweka kwenye kundi la wasioelewa wanajadili kitu gani...kwani wapi nimesema hakuna ukimwi?
Kuna watu unatakiwa kuwa makini sana kama unajadiliana nao,mimi ni mmojawapo.Hivyo kuwa makini....onesha sehemu ambayo mimi nimesema hakuna ukimwi.
Siku utayoacha viral load zitatoka elfu 1000 mpaka milion 10 organ zinafel zote,Hivyo una mshauri nini muhanga wa hizi dawa? Ikiwa mtu kashazitumia hizi dawa kwa miaka 5 afanye nn kujinusuru na madhara hayo??? Je aache kuendelea kumeza?
Siku utayoacha viral load zitatoka elfu 1000 mpaka milion 10 organ zinafel zote,
Mkuu nakukubali sana mungu akupe uzima uzidi kutupa elimu adimu
Siku utayoacha viral load zitatoka elfu 1000 mpaka milion 10 organ zinafel zote,
Hivyo una mshauri nini muhanga wa hizi dawa? Ikiwa mtu kashazitumia hizi dawa kwa miaka 5 afanye nn kujinusuru na madhara hayo??? Je aache kuendelea kumeza?
Sasa kipi kinafanyike? Mtu huyu inampasa aende hiyo clinic ama aziache vipi? Kuna dawa yoyote ya kuweza ku neutralizeARV aina ya sustiva,ambayo ndani yake kuna Efavirenz,kule Afrika ya kusini mateja wanafanya deal na wahudumu wa afya na wanazipata....wakishazipata wanazichoma,wanazisaga na kuzitumia kama dawa za kulevya...na wanapata ladha/effect ileile kama cocaine au heroin.
Swali 1:
Je,mnajua kwanini watumiaji wa ARVs wakiacha GHAFLA(bila kufuata utaratibu) kutumia vidonge hivyo wanaugua sana na hata kufa?....msiseme viral load itaongezeka,la hasha....
Jibu:
Ni kwasababu ya addiction anayoipata baada ya kuzitumia ARVs kwa muda mrefu.
NB;
Nadhani sasa mnaweza kuunganisha nukta kwa kwanini pia wale watumiaji wa madawa ya kulevya huwa wana clinics zao,zinaitwa METHADONE clinics ambazo wanakwenda kuhudhuria kule ili waweze kuacha kutumia dawa hizo bila kupata matatizo(yaani bila kuugua au kufa).
Maana watumiaji wa dawa za kulevya nao wakiacha GHAFLA kutumia dawa hizo wanaugua sana na hata kufa.
Swali 2:
Je,mnajua kwanini ARVs zimetangenezwa hivyo(yaani ziwe addictive)?
Jibu:
Wamezitengeneza hivyo ili mtu awe teja,yaani asiweze kuziacha,maana akiziacha ghafla ataugua sana na hata kufa.Sasa akifa atasaidia kuwapa maksi(credit) wenye mradi huu,maana jamii inayomzunguka mtu huyu itaamini kwamba HIV/AIDS kweli ipo na inaua,maana wamemwona mtu kaacha kutumia ARV halafu akafa,hivyo wataamini kwamba HIV wameongezeka(viral load) na ndio maana akafa.
Kamwe watu kutokana na UJINGA tu,hawataweza kufikiria kuhusu ADDICTION ya ARVs.
Aksanteni sana...
Nitumieni kabla sijafa,kwa maana ipo siku mtakuja kujuta pale mtakapohitaji msaada halafu watu kama mimi huwaoni.
nitakujibu...Sasa kipi kinafanyike? Mtu huyu inampasa aende hiyo clinic ama aziache vipi? Kuna dawa yoyote ya kuweza ku neutralize
Okay uni tag ukijibunitakujibu...
Mkuu unitag na mim akikujibuOkay uni tag ukijibu
Umenena vyema sana,be blessed mkuuMjitahidi kujifunza jinsi ya kujadili kwa hoja...wenzetu wazungu wametuacha mbali sana kimaendeleo kwasababu wanafanya mambo kwa kutumia mantiki,wakiona/kusikia jambo jipya huwa hawapingi tu hovyo,kwanza wanafuatilia,kisha wakishaelewa ndio wanaanza kujadili,tena wanajadili si kwa lengo la kupinga,bali kwa lengo la kuelewa...sisi hatuko hivyo.
So intriguing kwa kweliARV aina ya sustiva,ambayo ndani yake kuna Efavirenz,kule Afrika ya kusini mateja wanafanya deal na wahudumu wa afya na wanazipata....wakishazipata wanazichoma,wanazisaga na kuzitumia kama dawa za kulevya...na wanapata ladha/effect ileile kama cocaine au heroin.
Swali 1:
Je,mnajua kwanini watumiaji wa ARVs wakiacha GHAFLA(bila kufuata utaratibu) kutumia vidonge hivyo wanaugua sana na hata kufa?....msiseme viral load itaongezeka,la hasha....
Jibu:
Ni kwasababu ya addiction anayoipata baada ya kuzitumia ARVs kwa muda mrefu.
NB;
Nadhani sasa mnaweza kuunganisha nukta kwa kwanini pia wale watumiaji wa madawa ya kulevya huwa wana clinics zao,zinaitwa METHADONE clinics ambazo wanakwenda kuhudhuria kule ili waweze kuacha kutumia dawa hizo bila kupata matatizo(yaani bila kuugua au kufa).
Maana watumiaji wa dawa za kulevya nao wakiacha GHAFLA kutumia dawa hizo wanaugua sana na hata kufa.
Swali 2:
Je,mnajua kwanini ARVs zimetangenezwa hivyo(yaani ziwe addictive)?
Jibu:
Wamezitengeneza hivyo ili mtu awe teja,yaani asiweze kuziacha,maana akiziacha ghafla ataugua sana na hata kufa.Sasa akifa atasaidia kuwapa maksi(credit) wenye mradi huu,maana jamii inayomzunguka mtu huyu itaamini kwamba HIV/AIDS kweli ipo na inaua,maana wamemwona mtu kaacha kutumia ARV halafu akafa,hivyo wataamini kwamba HIV wameongezeka(viral load) na ndio maana akafa.
Kamwe watu kutokana na UJINGA tu,hawataweza kufikiria kuhusu ADDICTION ya ARVs.
Aksanteni sana...
Nitumieni kabla sijafa,kwa maana ipo siku mtakuja kujuta pale mtakapohitaji msaada halafu watu kama mimi huwaoni.
I got you, deception mara ya mwisho condom ulitumia lini??ARV aina ya sustiva,ambayo ndani yake kuna Efavirenz,kule Afrika ya kusini mateja wanafanya deal na wahudumu wa afya na wanazipata....wakishazipata wanazichoma,wanazisaga na kuzitumia kama dawa za kulevya...na wanapata ladha/effect ileile kama cocaine au heroin.
Swali 1:
Je,mnajua kwanini watumiaji wa ARVs wakiacha GHAFLA(bila kufuata utaratibu) kutumia vidonge hivyo wanaugua sana na hata kufa?....msiseme viral load itaongezeka,la hasha....
Jibu:
Ni kwasababu ya addiction anayoipata baada ya kuzitumia ARVs kwa muda mrefu.
NB;
Nadhani sasa mnaweza kuunganisha nukta kwa kwanini pia wale watumiaji wa madawa ya kulevya huwa wana clinics zao,zinaitwa METHADONE clinics ambazo wanakwenda kuhudhuria kule ili waweze kuacha kutumia dawa hizo bila kupata matatizo(yaani bila kuugua au kufa).
Maana watumiaji wa dawa za kulevya nao wakiacha GHAFLA kutumia dawa hizo wanaugua sana na hata kufa.
Swali 2:
Je,mnajua kwanini ARVs zimetangenezwa hivyo(yaani ziwe addictive)?
Jibu:
Wamezitengeneza hivyo ili mtu awe teja,yaani asiweze kuziacha,maana akiziacha ghafla ataugua sana na hata kufa.Sasa akifa atasaidia kuwapa maksi(credit) wenye mradi huu,maana jamii inayomzunguka mtu huyu itaamini kwamba HIV/AIDS kweli ipo na inaua,maana wamemwona mtu kaacha kutumia ARV halafu akafa,hivyo wataamini kwamba HIV wameongezeka(viral load) na ndio maana akafa.
Kamwe watu kutokana na UJINGA tu,hawataweza kufikiria kuhusu ADDICTION ya ARVs.
Aksanteni sana...
Nitumieni kabla sijafa,kwa maana ipo siku mtakuja kujuta pale mtakapohitaji msaada halafu watu kama mimi huwaoni.
Mpaka nikahisi watengeneza ARVs wamemteka kwa kosa la kujaribu kuwafumbua macho wateja. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Deception uliadimika sana aisee
I got you, deception mara ya mwisho condom ulitumia lini??
Pre ni kabla ya kuwa exposed na HIV ila PEP ni baada ya...Sorry sio pep ni pre