Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu. Nyie ndio mnadai kuna Mungu.Kinachonijuza kua yupo ni wale wanaosema hayupo na hawana uthibitisho kua hayupo.
Wewe kwanini Mungu hayupo?Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu. Nyie ndio mnadai kuna Mungu.
Hivyo ninyi waamini Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.
Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa Mungu, Ni kwamba madai yenu ni ya uongo.
Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
Mungu ni dhana ya kufikirika tu, mliyo jitungia huko vichwani mwenu tu.Wewe kwanini Mungu hayupo?
SawaMungu ni dhana ya kufikirika tu, mliyo jitungia huko vichwani mwenu tu.
Mungu hayupo katika uhalisia bali katika mawazo yenu ya kufikirika tu.
Huyo Mungu yupo huko vichwani mwenu tu.
Hayupo kwenye uhalisia.
Then what!!!Tumshukuru nani? Mungu muweza wa yote hayupo wala dalili ya uwepo wake tu haipo , hayo ni maneno ya kujifariji tu ya kiimani .
Sawasawa kiongozi,so unadhani kwa sisi kuamini hivyo kuna namna yoyote wewe unakosa amani?Mungu ni dhana ya kufikirika tu, mliyo jitungia huko vichwani mwenu tu.
Mungu hayupo katika uhalisia bali katika mawazo yenu ya kufikirika tu.
Huyo Mungu yupo huko vichwani mwenu tu.
Hayupo kwenye uhalisia.
Hakuna mtu anakataza mtu kuamini uzuri mmoja hili ni jukwaa huru na sio la kidini.Then what!!!
Yana ubaya wowote bro?kama hayana ubaya basi walioamini waachwe waamini namna walivyoona wao inawasaidia.
Mimi sikosi amani.Sawasawa kiongozi,so unadhani kwa sisi kuamini hivyo kuna namna yoyote wewe unakosa amani?
Hakuna kinacho nikera.Au kuna kinachokukera kwa watu wazima walioamua kwa hiyari zao kuamini wakitakacho?
Thibitisha huyoo mungu yupo wapMimi sikosi amani.
Kuamini ni uhuru wenu wa kikatiba kabisa.
Lakini mkianza kudai kwamba imani zenu zina ukweli lazima mthibitishe hilo.
Hakuna kinacho nikera.
Sure ikae hivyo.Hakuna mtu anakataza mtu kuamini uzuri mmoja hili ni jukwaa huru na sio la kidini.
Ndioo jukwaaa huru athobitishee huyoo mungu yuko wapHakuna mtu anakataza mtu kuamini uzuri mmoja hili ni jukwaa huru na sio la kidini.
Mmmmmh leta ushahidi wa munguSure ikae hivyo.
But still kila mwenye pumzi inampasa kumshukuru Mungu kwa yale aliyotendewa awe ametaka au hakutaka iwe leo akiwa mzima au kesho akiwa hawezi.
Useme kabisa hayo ni maneno ya kiimani tu kwa wale wanao amini pasipo uthibitishoSure ikae hivyo.
But still kila mwenye pumzi inampasa kumshukuru Mungu kwa yale aliyotendewa awe ametaka au hakutaka iwe leo akiwa mzima au kesho akiwa hawezi.
Mimi siamini kwamba kuna Mungu.Thibitisha huyoo mungu yupo wap
Uko sawaaMimi siamini kwamba kuna Mungu.
Siamini kwenye kuamini, Sina imani ya aina yeyote ile ya Mungu au miungu.
Ukishataka katikati ya watu kutaka wakuthibitishie kile wanachokiamini wao huku ukijua kabisa siyo fantasy yako huko tayari ni kukosa amani,wewe huna amani na hutokaa uwe na amani kwa sababu unajisikia hatia kila likitajwa neno ”Mungu”Mimi sikosi amani.
Kuamini ni uhuru wenu wa kikatiba kabisa.
Lakini mkianza kudai kwamba imani zenu zina ukweli lazima mthibitishe hilo.
Hakuna kinacho nikera.
Nilete ushahidi wa nini mzee umeambiwa mimi wakili wa Mungu?Mmmmmh leta ushahidi wa mungu
Mimi nakosoa habari za huyo Mungu wenu. Kwa sababu ni habari za uongo.Ukishataka katikati ya watu kutaka wakuthibitishie kile wanachokiamini wao huku ukijua kabisa siyo fantasy yako huko tayari ni kukosa amani,wewe huna amani na hutokaa uwe na amani kwa sababu unajisikia hatia kila likitajwa neno ”Mungu”
Huyo Mungu kwa nini ajionyeshe kwako tu, Na si kwa watu wote duniani kote kwa wakati wote?Nikimwambia mwenzangu kwamba Mungu kweli yupo ana amejionyesha kwangu tukaonyesha kufurahia wewe kinakuuma nini hadi utufate tuthibitishe uwepo wake?