Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu. Nyie ndio mnadai kuna Mungu.Kinachonijuza kua yupo ni wale wanaosema hayupo na hawana uthibitisho kua hayupo.
Hivyo ninyi waamini Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.
Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa Mungu, Ni kwamba madai yenu ni ya uongo.
Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.