Faida 10 za kumshukuru Mungu

Faida 10 za kumshukuru Mungu

Kinachonijuza kua yupo ni wale wanaosema hayupo na hawana uthibitisho kua hayupo.
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu. Nyie ndio mnadai kuna Mungu.

Hivyo ninyi waamini Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.

Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa Mungu, Ni kwamba madai yenu ni ya uongo.

Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
 
Wewe kwanini Mungu hayupo?
 
Wewe kwanini Mungu hayupo?
Mungu ni dhana ya kufikirika tu, mliyo jitungia huko vichwani mwenu tu.

Mungu hayupo katika uhalisia bali katika mawazo yenu ya kufikirika tu.

Huyo Mungu yupo huko vichwani mwenu tu.

Hayupo kwenye uhalisia.
 
Mungu ni dhana ya kufikirika tu, mliyo jitungia huko vichwani mwenu tu.

Mungu hayupo katika uhalisia bali katika mawazo yenu ya kufikirika tu.

Huyo Mungu
yupo huko vichwani mwenu tu.

Hayupo
kwenye uhalisia.
Sawasawa kiongozi,so unadhani kwa sisi kuamini hivyo kuna namna yoyote wewe unakosa amani?

Au kuna kinachokukera kwa watu wazima walioamua kwa hiyari zao kuamini wakitakacho?
 
Then what!!!

Yana ubaya wowote bro?kama hayana ubaya basi walioamini waachwe waamini namna walivyoona wao inawasaidia.
Hakuna mtu anakataza mtu kuamini uzuri mmoja hili ni jukwaa huru na sio la kidini.
 
Sawasawa kiongozi,so unadhani kwa sisi kuamini hivyo kuna namna yoyote wewe unakosa amani?
Mimi sikosi amani.

Kuamini ni uhuru wenu wa kikatiba kabisa.

Lakini mkianza kudai kwamba imani zenu zina ukweli lazima mthibitishe hilo.
Au kuna kinachokukera kwa watu wazima walioamua kwa hiyari zao kuamini wakitakacho?
Hakuna kinacho nikera.
 
Mungu yupi sasa yule wa uarabuni au wa Israel 🇮🇱 ni mungu yupii huyoo
 
Sure ikae hivyo.

But still kila mwenye pumzi inampasa kumshukuru Mungu kwa yale aliyotendewa awe ametaka au hakutaka iwe leo akiwa mzima au kesho akiwa hawezi.
Useme kabisa hayo ni maneno ya kiimani tu kwa wale wanao amini pasipo uthibitisho
 
Mimi sikosi amani.

Kuamini ni uhuru wenu wa kikatiba kabisa.

Lakini mkianza kudai kwamba imani zenu zina ukweli lazima mthibitishe hilo.

Hakuna kinacho nikera
.
Ukishataka katikati ya watu kutaka wakuthibitishie kile wanachokiamini wao huku ukijua kabisa siyo fantasy yako huko tayari ni kukosa amani,wewe huna amani na hutokaa uwe na amani kwa sababu unajisikia hatia kila likitajwa neno ”Mungu”

Nikimwambia mwenzangu kwamba Mungu kweli yupo ana amejionyesha kwangu tukaonyesha kufurahia wewe kinakuuma nini hadi utufate tuthibitishe uwepo wake?
 
Mimi nakosoa habari za huyo Mungu wenu. Kwa sababu ni habari za uongo.

Habari za uwepo wa Mungu ni habari za uongo na lazima tuzikosoe kuonyesha uongo wake ulivyo.

Sio kwamba eti sina Amani, Amani ni dhana ya kufikirika tu.
Nikimwambia mwenzangu kwamba Mungu kweli yupo ana amejionyesha kwangu tukaonyesha kufurahia wewe kinakuuma nini hadi utufate tuthibitishe uwepo wake?
Huyo Mungu kwa nini ajionyeshe kwako tu, Na si kwa watu wote duniani kote kwa wakati wote?

Hivi huyo Mungu wako anajielewa kweli?
 
Back
Top Bottom