Faida 10 za kuoa mwanamke mwenye mtoto (single mother)

Lofa,fara na punguani
Matatizo ya mtindio wa ubongo ni janga la kitaifa
 
Kwann mkuu...wakati faida zipo hapo
Narudia mara ya mwisho.

Usioe single mother ikiwa Baba wa mtoto anapumua.

Aidha umehudhuria mazishi yake wewe mwenyewe au uonyeshwe kaburi lake kisha fukua chukua sample uzifananishe na DNA ya huyo mtoto.

Ziada hakikisha umekiona cheti chake cha kifo na Muhtasari mfupi kuhusu kifo chake kutoka kwa Mwenyekiti wa kitongoji.

Uzi ufungwe.
 
Ukiwa mwanamke mwenye akili timamu,hizi nyuzi msizichukulie kama kashfa kwa wanawake bali iwe ni kama lesson kurekebisha mapungufu ya yule aliye single mom,au usome ili ikusaidie usije kuangukia mtego wa kuwa single mom,au ukizaa mwanao wa kike uhangaike asije akaingia kwenye hili kundi,kwakuwa 90% ya single mom kwenye mahusiano wana mapungufu yanayokera sana wanaume,na shida ni kuwa hawako sawa kisaikolojia...
 
Vp kama wameachana willingly
 
Singles waoane wenyewe, single father akipata single mother ni sawa kabisa. Binafsi nikijankuwa single father siwezi kuoa kabinti hakana watoto/mtoto
Kwann
 
Mzeebaba nakuunga mkono pamoja na changamoto za single mother ila changamoto hizo zinapatikana pia hata kwa wanawake wasio single mothers,,,,hhiyo changamoto kubwa ni kugongewa ambayo inapatikana kwa wanawake wengine wowote pia.
 
Singles waoane wenyewe, single father akipata single mother ni sawa kabisa. Binafsi nikijankuwa single father siwezi kuoa kabinti hakana watoto/mtoto
Fafanua hapa tupate madini mkuu,why single father Vs single mother nisawa kuoana.
 
Umemaliza Mwamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…